Is this A fact?

Mimi ni mkristo ila siamini kwamba yesu ni Mungu

Hata binadamu anatokana na udongo siamini
Sentensi ya kwanza sawa
Je hiyo ya pili nikikupa ushahid juu mwanadam kutokana udongo utakubali?
 
Weka hizo fact? Wakati huyo unaemwita Mungu na yeye alikuwa naye anaye muabudia,
Maana hapo hakuna tofauti na yule aabudiae Ng'ombe, moto n.k
Nilimjibu joanah kwasababu alijieleza kuwa mkristo ambapo kwangu ilimaanisha tunatumia reference moja (Bible).

Ila wewe ambae "Scriptures" unaziita "facts" nadhani hatutumii reference book zinazofanana. So vyovyote unavyomchukulia Yesu mchukulie hivyo hivyo.
 
Mimi ni mkristo ila siamini kwamba yesu ni Mungu

Hata binadamu anatokana na udongo siamini
Hakika, katika vitu baadhi ya wakristo hubugi ni kuamini kwamba yesu ni Mungu

Kwakweli huenda hata yeye anatushangaa

Mimi ni muumini wa kusoma sana biblia, sijawahi kuona mstari unaompa bwana yesu uungu, hata yeye japo alikua mfanya miujiza ila hakupenda watu wamuone ni zaidi ya aliyemtuma.
 
Because vitabu vyetu vya dini vinasema Binadamu tumeumbwa kwa udongo ila kwenye suala la Mungu tunatofautiana
 
Back
Top Bottom