Hivi TAKUKURU wameshamkamata Marry Gonzaga?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,851
Reaction score
7,768
Huyu mwana mama alitikisa nchini siku kadhaa zilizopita akituhumiwa kutakatisha hela na mambo mengine kibao. TAKUKURU waliomba popote alipo duniani ajisalimishe.
Je kajisalimisha?
 
Mbwembwe tu zile zilikuwa. Hawana lolote hao.
Mbona Kagame wa Rwanda huwasaka washukiwa popote duniani na kuwanasa au hata kuwaua, sisi tunazidiwa intelligence na Rwanda? Au ni ile marufuku kwenda nje bila idhini ya mkulu?
 
Huyu mwana mama alitikisa nchini siku kadhaa zilizopita akituhumiwa kutakatisha hela na mambo mengine kibao. TAKUKURU waliomba popote alipo duniani ajisalimishe.
Je kajisalimisha?

Bado wanamalizia ' Kumkamua ' Kiuchumi na Kitaarifa Kwanza hivyo vuta subira.
 
Kwani boss wa pride naye wameshamkamata

Ova
 
Kwani boss wa pride naye wameshamkamata

Ova
Bado wanamalizia ' Kumkamua ' Kiuchumi na Kitaarifa Kwanza hivyo vuta subira.
Mbona Kagame wa Rwanda huwasaka washukiwa popote duniani na kuwanasa au hata kuwaua, sisi tunazidiwa intelligence na Rwanda? Au ni ile marufuku kwenda nje bila idhini ya mkulu?
Nimependa haya majibu yenu wadau, karibuni kikao cha viti virefu
 
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi Maendeleo Hayana Chama
 
Ohooooo na wale waliohusika na utekaji wa MO nasikia wapo ndani!!!,sio jela ila ndani ya Sun City pale Rustenburg(because tuliambiwa wanatokea hiyo nchi)
 
Back
Top Bottom