UFAFANUZI UNAHITAJIKA

UFAFANUZI UNAHITAJIKA

fikirijohnas

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
56
Reaction score
49
Habari humu jamvini! Naomba ufafanuzi kwa mwenye ufahamu kuhusu kodi kwa watumishi wa umma.Mimi ni mtumishi wa umma katika moja ya taasisi za serikali,nimekuwa nikifuatwa mara kwa mara na viongozi wa serikali za mitaa wakiniomba michango ya maendeleo kama vile,kuchangia ujenzi wa madarasa,vyoo vya shule nk.Sasa swali ni je! ni halali mimi kama mtumishi wa umma kutoa michango hiyo? au sitakiwi kuchangia kwa vile mimi nakatwa moja kwa moja kutoka mwenye mshahara wangu? Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom