Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wenyeviti hao ni wa mitaa iliyopo Burka jijini Arusha. Lengo lao ni kuvamia ardhi mpakani mwa jiji hilo na wilaya ya Arumeru. Polisi iliwakamata eneo la tukio na kuwaweka lupango tangu jana hadi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
habari!Kuhusu madawa ya kulevya kila mtu anajitokeza kuunga mkono jitihada za kupambana na wauzaji na watumiaji.Hivi wale tunaowafahamu kabisa tena wengine walikamatwa abroad wakiwa na madawa ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Kichwa cha Habari kiende kwa Wafanyakazi wote wa ' Kijarida ' cha Kila siku kiitwacho Jambo Leo cha Tsh 500/ juu ya ' Upuuzi ' wao wa Kiuandishi na kumsafisha Bosi wao Yusuph Manji huku wakimpamba...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tanzania unaenda Polisi unajisalimisha Unalipa faini then unapiga Picha na Kamanda Maisha yanaenda safi kabisa.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ni kwa makosa ya usalama barabarani.Alipa faini sh 60,000 na kuachiwa.Source Mwananchi
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
najaribu kuwaza, nini kiliwapelekea wanasheria/mawakili kujiita "wakili msomi" huku wasomi wa taaluma nyingine huwa hawana kasumba hii. kwa mtazamo wangu Engineers,Madoctor,Waalimu ndio walipaswa...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Anaandika Wakili Msomi, Tundu Lissu Mawakili wenzangu. Mimi binafsi sijashangazwa na kauli ya Dkt. Mwakyembe kwamba ataifuta TLS kama itajiingiza katika harakati za kisiasa. Hii sio mara ya...
2 Reactions
Replies
Views
Agizo la Naibu Waziri wa Afya, Hamisi Kigwangalla la kuwataka mashoga watatu waripoti polisi kutokana na kuonekana kujitangaza kujihusisha na mapenzi kinyume na maumbile kwenye mtandao zimepokewa...
1 Reactions
125 Replies
14K Views
Hapo nyuma tumezoea kuona wapiga debe kwanye vituo vyetu vya mabasi na dala dala ,kwa sasa hali imekuatofauti.Kila siku hiendayo kwa mungu hawa watu wanapungua .
2 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau hvi kesi za hawa watu zimeishia wapi!...au ndio utashangaa serikali badae inakuambia kua waliyokamatwa nayo hayakua maeno ya tembo.....NCHI YA AJABU SANA KUNA MTU ANAJIITA IGP, MKUU WA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuyaondoa madawa kwenye jamii kabla ya kuwatambua na kuwasaidia waathirika wote wa dawa hizo ni sawa na kubandika tangazo la kifo kwa waathirika wa dawa hizo. Watakufa kwa arosto kama wakizikosa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ushirika,wote kwa pamoja tujenge uchumi Wa viwanda, Waziri Wa kilimo ufugaji Na umwagiliaji shikamoo popote ulipo. Nimeona Leo mapema nikuamkie Na kuiujuza kuwa Tanzania ya viwanda inawezekana...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Naiomba Serekali kuziangalia kwa jicho la karibu sana hizi kampuni zinazotoa huduma za kifedha.Hii mikopo ya DHarura wanayotoa imekuwa Mwiba na Imewaumiza watanzania walio wengi. Kwanza kumekuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Agizo la serikali ni kuwa shule za binafsi ziwe na mihula miwili kwa mwaka kama shule za serikali. Baadhi ya shule kama hiyo hapo chini imekiuka makusudi kwa kigezo cha darasa la saba. Lakini ada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, kasoro Lindi, Mtwara, Shinyanga na Kigoma, mikoa yote upatikanaji wa maji ya Kilimanjaro ni wa uhakika na sijaona maji ya Uhai. Inamaana Uhai imeshindwa kupenya...
2 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu Salamu Kwenu. Naomba niweke wazi kama shabiki mkubwa wa marehemu kanumba nitakwenda wiki ijayo kufungua kesi ili mashabiki tujue chanzo cha kifo ilikua ni nini na mawakili wanasema ni haki...
12 Reactions
86 Replies
9K Views
Wakuu wa nchi naona sasa network ya airtell imekuwa slow sijui ndio wamezidiwa customers au vipi .au ni mimi mwenyewe nini ?haikuwa hivyo hapo awali was very fast .
5 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Redirect
Kuna mijadala mikali inaendelea juu ya uchaguzi wa TLS mwezi ujao kitu ambacho sikuwahi kukisikia huko nyuma katika chaguzi za TLS pia katika chaguzi za vyama vingine vya kitaaluma. Kwanini iwe...
0 Reactions
Replies
Views
Naiomba serikali kuongeza upana wa barabara kutoka Kimara mpaka Mbezi Louis kwa dharura. Hii itasaidia kupinguza msongamano wa magari.
4 Reactions
4 Replies
788 Views
Unakuta mtu anasoma computer science au bsc informatics na wakati huo hufundishwa theories Sana na practical Ni kidogo Sana tens ile ya kuachiwa mama assignment na submission date hivi Huyu...
1 Reactions
0 Replies
495 Views
Back
Top Bottom