Basi Kampuni Ya Color Star Lapinduka asubuhi hii

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Basi la abiria Dar -Tbr limepata ajali asubuhi hii likiwa safarini kutokea Dar es salaam kwenda Tabora
Habari zaidi -update- zitafuata kadri zitakavyopatikana.
IMG-20190515-WA0001.jpeg
 
Maeneo gani??,nilikua nipande Basi Hilo Leo ila roho ikakataa nimepanda kisbo naelekea Tabora mungu awafanyie wepesi wasafiri
 
Back
Top Bottom