Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukikutana na huyu bwana msalimie sana, Msifie kadri uwezavyo Mpe pongezi nyingi nyingi Usimpe nafasi ya kuongea hachelewi kukuharibia siku Nafikiri mnamjua..
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu wasaalamu? Katika mkutano wa ukusanyaji maoni kuhusu ombi la KIBAWASA kuomba kupandisha bei ya maji
0 Reactions
3 Replies
779 Views
Viongozi wengi mikoani nchini sijui bado wanawaza nini, nchi ni yao, lakini bado wanaendeleza kufanya mafyongo tu. Meneja wa Tanesco kakosekana katika ziara ya jpm katika ufunguzi/uzinduzi wa...
2 Reactions
82 Replies
11K Views
Wakuu nimejikuta matatani baada ya Afande mmoja kuniagiza maandazi kama kitafunwa, sasa baada ya kukosa maandazi nikaamua nijiongeze mie mwenyewe kumchukulia Donati, kimbembe ni pale Afande...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari wana JamiiForums, Nimehamia kikazi kutoka Dar sasa nipo Dodoma.Nina wiki ya pili sasa na zifuatazo ni chamgamoto ambazo ndio fursa za biashara Dodoma mjini.. 1.Kunyoa nywele sh...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu salam Leo asubuhi nimeamka vizuri nikawa nipo kijiweni tunapiga stori sababu mvua ilikua imenyesha hivyo nilikua sina kazi. Nyumayangu akaja jaama ambae ni bubu na hasikii kama utani...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Mwanamke Mzuri wa kazi gani wakati watu tunafanya mapenzi gizani
0 Reactions
1 Replies
554 Views
hapo zamani wanafunzi wa chuo hasa UDSM Ilikuwa ni ngumu tena haikuwezekana kusoma mwaka mzima bila kigoma! haikuwezekana kabisa. mambo yalianzia rev.squire. watu waligoma kushinikiza. mwaka, 2001...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Jimbo la kawe aisee watatoana roho Video ya pili nimeiona leo
2 Reactions
40 Replies
7K Views
BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura CCC) limewatahadharisha watumiaji wa jiko la gesi kuwa wasitumie simu za mikononi wakati wakipika, kwa vile linaweza kulipuka kwa...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Nimewiwa kuandika jambo ili,ili nisje nikafa nalo moyoni naisi itakuwa ni dhambi ambayo naweza ukumiwa nayo kwa uzembe wangu. Miezi kadhaa iliyopita, nilikuwa mkoani mwanza maeneo ya Ghana sjui...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wadau wa HnH, Kufuatia mvua zilizonyesha kwa wiki hii mfulilizo, Sisi wakazi wa Mabwepande tumepata hadha ya kubomokewa na daraja la tumaini linalounganisha "Kwa Wahanga" na Block 14...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimefuatilia hizi ajira za walimu wa shule za msingi na secondari sijaona shule kutoka Zanzibar zikipata walau walimu kwa uchache. (Hakuna hata mwalimu mmoja) Je, kunautofauti wa ajira za...
3 Reactions
67 Replies
9K Views
NEW HABARI.. ANAJIKUNA PALE PANAPOWEZA KUKUNIKA....!!![emoji848][emoji848][emoji848] Mzee Magu sasa sisi wenye Virusi tutaishi kwa style ipi? Kama wazima tu ari ni tete....!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Namfagilia RC wa Mbeya Amos Makala kwa kulibebea bangi tatizo sugu la bei ya chai. Rejea Guardian leo pg 3. Hili ni tatizo sugu kwa maana ni la muda mrefu sana na hata wabunge wa eneo la Rungwe...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
KUTOKA MAHAKAMA YA KISUTU WAKILI: Ndugu Shahidi, hivi Kampeni za Nyumba kwa Nyumba zinaruhusiwa wakati wa Uchaguzi? SHAHIDI: Ndio, zinaruhusiwa. WAKILI: Wewe ulijuaje kuwa akina Mbowe walikuwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wadau. Ninaomba kupitia jukwaa hili nifikishe kilio chetu sisi Wafanyakazi wa hospitali ya Ks kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala. Naomba kuwasilisha hoja zifuatazo: 1...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hizi ili shirika la Air Tanzania limekuwaje?...., mbona sikuhizi mmeota mapembe?....., yaani sikuhizi kwenda airport na kuondoka kwa muda muwafaka nikitu ambacho hakiwezekani....., last week...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeona nakala ya serikali juu ya mifuko ya plastic kupigwa marufuku kuingia nchini, hasa kwa wasafiri. Suali Luggage zenye wrapped zitapigwa fine? Naona hii sheria imeelekeza zaidi wasafiri...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SENIOR LECTURER TO ASSOCIATE PROFESSOR 3. Dr. Kitila A. K. Mkumbo: Department of Educational Psychology and Curriculum Studies, School of Education Since his last promotion to Senior Lecture in...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Back
Top Bottom