zubedasoud
Member
- Feb 1, 2017
- 91
- 117
Kutokana na utendaji kazi wa mheshimiwa Makala hasa katika utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi, ikiwemo mgogoro wa soko la Mwanjelwa, madai ya wananchi na uwanja wa ndege na kupungua kwa kiasi kikubwa cha matukio ya uhalifu.
Yote haya yamekuwa yakifanyika kwa weledi mkubwa na ufataji wa taratibu na sheria katika utatuzi kufuatwa. Makala aletwe Dar, huyu jamaaa anafaa!
Ni maoni tu, wadau njooni tujadili
Yote haya yamekuwa yakifanyika kwa weledi mkubwa na ufataji wa taratibu na sheria katika utatuzi kufuatwa. Makala aletwe Dar, huyu jamaaa anafaa!
Ni maoni tu, wadau njooni tujadili