Am too Handsome!
Am too beautiful!
Am too rich!
Am too educated!
Am too talented!
Am too sexy!
Am too classic!
I have 1.1k likes on Facebook
I have 500 followers on Instagram
I have too much...
Serengeti. Mkazi wa kijiji cha Bukore kata ya Kyambahi wilaya ya Serengeti, Motondi Shakanyi (26) ameuawa na tembo wakati wakisaidiana na ndugu zake kuwafukuza wanyama pori hao shambani.
Mkuu wa...
Leo nimefika dukani nikakuta baraua inanitaka niende ofisi za mtendaji kwenda kutoa maelezo kwa nn napanga bidhaa nje ya duka, nimeshangaa kidogo kwani Toka awamu hi imeanza sijawahi ona usumbu...
Zamani kulikuwa na kikatuni (nimesahau jina sijui Mzee Kishoka au Kimboka?) cha jamaa ambaye husahau sahau hata kina lake! Wengi wakikifurahia ila kikatuni kile kilikuwa kinatuma ujumbe kwa jamii...
Chama cha mawakala wa forodha( TAFFA) Mpakani Namanga,wilayani Longido, wamemwomba Waziri mkuu, Kassimu Majaliwa kuingilia kati mgogoro kati yao na wakala wa vipimo (WMA) unaowalazimisha kulipia...
Ndege hii ndiyo ilikuwa Jet ya kwanza ya rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere Mwaka 1978, na ilipewa namba za CCM kwa vile chama kilikuwa kimoja na chama kilikuwa juu ya serikali; je leo bado ina...
Dar es salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kueleza nia ya kurejesha utaratibu wa kufanya biashara kwa saa 24, mameneja wa baa mbalimbali katika jiji hilo...
Kuna kipindi "This week in perspective" - kinarushwa na TBC1.
Kipindi hiki nakipenda kwani hua na mijadala mizuri ya kuelimisha jamii. Ila kwa upande wangu naona yanayojadiliwa hayawafikii watu...
Hua najiuliza tabu zote zile chuoni Toka mwaka wa Kwanza hadi wa mwisho naishia hivi.?
Nilikua na ndoto nikihitimu chuo niwe msaada kwa wazazi walionisomesha kwa shida hivi Sasa Sina hata uwezo...
Taarifa kutoka DR Congo zinasema Rais mstaafu wa DR Congo Joseph Kabila, atagombea nafasi ya urais wa klabu ya AS Vita katika uchaguzi mkuu utakayofanyika mwezi ujao. Atapambana na rais wa sasa wa...
Wakuu ukiwaza je mazuri uliyofanya asilimia ngapi na mabaya uliyofanya asilimia ngapi?,Mabaya uliyofanya yana asilimia kubwa? Au mazuri uliyofanya yana Asilimia kubwa/??
Kuna mgeni kwenye StarTv muda huu amelewa chakari. Anacho ongea hata hakieleweki.
Nawashauri watu wa media muwe makini ktk kuwaalika wageni. Hii ni aibu sana...
UPDATES: At 2219 Hours
Hivi sasa...
Habari wanajf..
Ni wiki ya pili sasa nahangaika kutafuta soft copy ya kitabu hiki cha MIKONO YENYE VIPAWA, ambacho ni tafsirj ya kitabu cha kiingereza cha GIFTED HANDS.
NITAFURAHI SANA KUMIPATA...
Nataka kwenda kwenye huo mradi wa umeme ili kuangalia fursa za kibiashara lakini kabla sijaenda naomba kujua haya yafuatayo
1. Inaruhusiwa kwenda kutembelea huko?,
2. Je kuna usafiri wowote wa...
Uanaume haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa...
Habari wanajamii
Kwa wakati huu nchi yetu inapitiaa changamoto kubwa ya tatizo la ajira kwa wasomi wa kitanzania ambao wanaongezeka kwa kasi kubwa, kila mwaka graduates wanaongezeka huku nafasi...
Nikiwa natokea Tanga leo asubuhi huku nikiwa nimebahatika kukaa karibu na Mhandisi mmoja ' maarufu ' sana nchini hasa kwa ' uweledi ' wake katika masuala mazima ya ' Kiuhandisi ' ndani na nje ya...
Habari za usiku wakuu.
Naamini mko salama na wale mlioko kwenye magumu Mola awatilie wepesi yapate kuwa mepesi kwenu InshaAllah.
Jamani kuna ubishi nimeushikilia tangu jana but hatujaweza kupata...
Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapotaja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.