Naombeni kitabu cha MIKONO YENYE VIPAWA cha Bem Carson

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,463
Habari wanajf..

Ni wiki ya pili sasa nahangaika kutafuta soft copy ya kitabu hiki cha MIKONO YENYE VIPAWA, ambacho ni tafsirj ya kitabu cha kiingereza cha GIFTED HANDS.

NITAFURAHI SANA KUMIPATA KATIKA PDF, TAFADHALI MENYE NACHO ANISAIDIE.

NITASHUKURU.

N. B kiwe cha kiswahili.
 
Kiko Cha kiswahili?
 
Nunua tu hardcopy mkuu unafaidi zaidi. Mbona viko vingi tu mitaani.
Mimi ninacho '' Think Big'' hardcopy tangu 2002
 
Yeah niliwahi soma nimesahau hata nilikiazima wapi mwaka 2012 huko
Yawezekana ni watoto wa mjini walitafsiri Bila ridhaa ya mchapishaji wakawa wanauza kinyemela .Kwa kiswahili ruksa haijatolewa bado kitafsiriwe
 
Dah nipo mkoani... Hawana Mtwara hii.. Since 2002 aisee hyu jamaa bado yupo hai?
Aligombea Urais enzi za Trump akachujwa nadhani. Yupo hai sana tu. Na anakitabu kingine kipya kwa ajili ya watoto.
Nenda pale mtwara kanisa la SDA kuna Duka la Vitabu kwenye lile jengo dogo ulizia watakusaidia hata kama hawana watakuagizia wakupe mkuu.
 
Asante sana mkuu itabidi kesho niende..
Aligombea Urais enzi za Trump akachujwa nadhani. Yupo hai sana tu. Na anakitabu kingine kipya kwa ajili ya watoto.
Nenda pale mtwara kanisa la SDA kuna Duka la Vitabu kwenye lile jengo dogo ulizia watakusaidia hata kama hawana watakuagizia wakupe mkuu.
 
Daah ulipataga kitabu halisi cha GIFTED HAND?

Basi hiki hakina tofauti kabisa kimuonekano zaidi ya lugha tu

Kama sikosei title iliandikwa MIKONO INAYOTENDA MAAJABU

Kama n watoto wa mjini basi siyo w nchi hii maana kilitafsiriwa kisomi sawia kabisa na kilichopo katika kitabu nakitafuta kweli aiee
Yawezekana ni watoto wa mjini walitafsiri Bila ridhaa ya mchapishaji wakawa wanauza kinyemela .Kwa kiswahili ruksa haijatolewa bado kitafsiriwe
 
Daah ulipataga kitabu halisi cha GIFTED HAND?

Basi hiki hakina tofauti kabisa kimuonekano zaidi ya lugha tu

Kama sikosei title iliandikwa MIKONO INAYOTENDA MAAJABU

Kama n watoto wa mjini basi siyo w nchi hii maana kilitafsiriwa kisomi sawia kabisa na kilichopo katika kitabu nakitafuta kweli aiee
Watakuwa wakenya hao
 
[emoji16][emoji16][emoji16] tatizo hawakusema jamaa mkenya
Kule noma hutafsiri vitabu vya watu Bila ridhaa zao kuvichapisha na kuviuza mpaka washtukiwe huwa washaviuza kibao na kutokomea gizani
 
Habari wanajf..

Ni wiki ya pili sasa nahangaika kutafuta soft copy ya kitabu hiki cha MIKONO YENYE VIPAWA, ambacho ni tafsirj ya kitabu cha kiingereza cha GIFTED HANDS.

NITAFURAHI SANA KUMIPATA KATIKA PDF, TAFADHALI MENYE NACHO ANISAIDIE.

NITASHUKURU.

N. B kiwe cha kiswahili.
Dah nipo mkoani... Hawana Mtwara hii.. Since 2002 aisee hyu jamaa bado yupo hai?
Daah ulipataga kitabu halisi cha GIFTED HAND?

Basi hiki hakina tofauti kabisa kimuonekano zaidi ya lugha tu

Kama sikosei title iliandikwa MIKONO INAYOTENDA MAAJABU

Kama n watoto wa mjini basi siyo w nchi hii maana kilitafsiriwa kisomi sawia kabisa na kilichopo katika kitabu nakitafuta kweli aiee

ENJOY YOUR SELF.

1110044
 
Attachments

  • Thanks
Reactions: BAF
Hapana mkuu soma vizuri uzi niliomba kile cha kiswahili.

Lengo ni kujifunza hii taaluma ya uandishi kwa kuzingatia mbinu a uandishi na misamiati mingi sana

Umeomba mvua, umepata. Sasa unasema siitaki mvua hii, naitaka ile inanyesha chocolates.
Wishing you all the best
 
Hapana mkuu soma vizuri uzi niliomba kile cha kiswahili.

Lengo ni kujifunza hii taaluma ya uandishi kwa kuzingatia mbinu a uandishi na misamiati mingi sana
Mimi ninavyo vya kiswahili nipo Mwanza, bei 11000...ukikosa huko nakutumia mkuu
 
Back
Top Bottom