Hii ndege ya serikali bado in namba za CCM?

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
12,016
2,000
Ndege hii ndiyo ilikuwa Jet ya kwanza ya rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere Mwaka 1978, na ilipewa namba za CCM kwa vile chama kilikuwa kimoja na chama kilikuwa juu ya serikali; je leo bado ina namba hiyo ya CCM?
1110049
 
Duduvwili

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
2,489
2,000
Mkuu mambo mengine ni kuachana nayo tu sasa kama ilinunuliwa kipindi ya chama kimoja automatically itakua ni mali ya chama sidhani kama wataibadilisha hilo achana nalo mkuu sio kila jambo tutalibadilisha ila ingekuw imepakwa rangi ya kijani tofauti na zingine tungekemea kwa sasa chill out nigga!!
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
980
1,000
Tangia hiyo 1978 ndege iliponunuliwa mpaka Leo hii, chama tawala hakijabadilika, siku kikitawala chama kingine basi itanunuliwa ndege na kubadilishwa jina la chama
Ndege hii ndiyo ilikuwa Jet ya kwanza ya kwa rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere Mwaka 1978, na ilipewa namba za CCM kwa vile chama kilikuwa kimoja na chama kilikuwa juu ya serikali; je leo bado ina namba hiyo ya CCM?
View attachment 1110049
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,637

Hii ni ile CCM waliichukua pamoja na viwanja vya michezo, ilipowashinda gharama za uendeshaji wakairudisha wenyewe, walidhani Coaster!
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,637
2,000
Mkuu mambo mengine ni kuachana nayo tu sasa kama ilinunuliwa kipindi ya chama kimoja automatically itakua ni mali ya chama sidhani kama wataibadilisha hilo achana nalo mkuu sio kila jambo tutalibadilisha ila ingekuw imepakwa rangi ya kijani tofauti na zingine tungekemea kwa sasa chill out nigga!!
Usihalalishe kosa, serikali haikuwa na ndege moja, kwanini hii? Pesa za manunuzi ni za serikali na kinachonunuliwa kinatakiwa kuingizwa kwenye vitabu vya serikali, hata viwanja wanatakiwa wabirudishe serikalini, Mkwakwani nipo tangu kabla ya Uhuru wao walikijenga lini?
 
Duduvwili

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
2,489
2,000
Usihalalishe kosa, serikali haikuwa na ndege moja, kwanini hii? Pesa za manunuzi ni za serikali na kinachonunuliwa kinatakiwa kuingizwa kwenye vitabu vya serikali, hata viwanja wanatakiwa wabirudishe serikalini, Mkwakwani nipo tangu kabla ya Uhuru wao walikijenga lini?
Mtazamo wangu tu mkuu kimsingi sina muda kabisa kufikiria hizo mambo xo long sinufaiki lolote mimi ziwe za chama sijui za nan ts none of my bizness mkuu am xo sorry nakushauri na ww ufikirie mambo mengine ya msing kuinua familia
 
cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,499
2,000
Mzee gari ikisajiliwa mmiliki akibadilika ndo unataka tubadili namba
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
12,016
2,000
Ni ya serikali. 5H-CCM hii Anna maana ni ya chama. Ni sawa na kuwa na numba ya gari au bajaji T 234 CCM sii ya chama

Code ya ndege za Tanzania n 5H- baada ya hapo Tanzania inaweza kuweka label yoyote. Wakati ndege hiyo inasajiliwa ilikuwa ni mwaka mmoja tu baada CCM kuzaliwa na bado kulikuwa na mwamko sana nchini,kwa hiyo ikapewa label ya CCM kama chama tawala baada ya kuungana kwa TANU na Afro Shiraz. Ndege hiyo ilikuwa ikitumiwa na Nyerere pamoja na Jumbe, ingawa Jumbe alikuwa na ndege yake nyingine chini ya serikali ya mapinduzi. Ila ziara zake zote huku bara alikuwa akitumia ndege hiyo hiyo iwapo haitumiwi na Nyerere. Ile label ya CCM ilikuwa ni kuwaonyesha kuwa mmiliki mkuu ni CCM wakati huo! Siyo leo!
 
BILLY ISISWE

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,635

5H-CCM. 5H-CCN nayo ni ya serikali Ndivyo hilivyo. Hii ndege ni ya serikali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom