Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapotaja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake maana kiukweli huwa yana sound vizuri sana.

Kama na wewe unafahamu majina wawili matatu ya mimea au wanyama emu tupia hapa tujikumbushe.
 
Kwa wale ambao wana upeo kidogo wa botanical name za wanyama au mimea mtakuwa mashaidi wa ninachokizungumza uwa nasikia raha ninapo taja majina ya mimea au mazao ya chakula kwa scientific name zake maana kiukweli uwa yana sound vizuri sana.
Kama nawewe unafahamu majina wawili matatu ya mimea au wanyama emu tupia hapa tujikumbushe.
Nyagina Nyagwatha
 
Mkuu asante ila kuna yale magugu uwa yana vidude vyeusi ukiingia shambani vinanasa kwenye nguo ile botanical name yake ni kiboko kama unayo tupatie tafadhali.
Silikumbuki mkuu, niliwahi kufundishwa Advance kwenye sample za Practical ambazo zingetoka kwenye Paper 3 ila halikutoka.

Kwa sasa desa lake lishavepa
 
Back
Top Bottom