Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hatua ya serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plasitiki kumetoa fursa kwa wajasiriamali jijini Arusha kushiriki mafunzo ya muda mfupi ili kupata elimu ya kutengeneza Mifuko mbadala ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanazengo leo nilikua kwenye ofisi fulani hivi,nafatilia mafao yangu baada ya kuacha kazi katika kampuni moja hada dar,katika kusubiria subiria tukiwa na jamaa wengine wakiwa wamekuja kufatilia...
1 Reactions
0 Replies
752 Views
Haya makampuni mengine yabaki kutuuzia vocha na mihamala ya pesa to. Maana wamezidi kutunyonya katika mabando Katika ulimwengu huu wa digital huduma Za internet zinapaswa kupatikana kwa gharama...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila mtu amepewa fursa ya kupata nguvu kubwa zaidi katika asili, nguvu iliyomuumba na inayomtawala! Hakuna haja ya kuamini katika uwepo wa nguvu hii kubwa, kwani inaweza kuchunguzwa na kujulikana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaetaka kumfahamu Mr Zero IQ uliza utajibiwa hapa, Cc ZERO IQ
1 Reactions
78 Replies
5K Views
Mzee mengi alilalamika kurushiwa meseji za matusi baada ya Itv kuonyesha mkutano live wa lowassa kutangaza nia via ccm pale arusha.Aliitaja namba iliyoongoza kumtumia matusi kama 0655 253 535...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tanga maeneo ya ngamiani wameweka vibao hivi kuonyesha mitaa ikiwa kwa kiswahili na kiingereza kwa maoni yangu nafikiri kwa kiingereza wangeandika 7th Road au Road # 7 badala ya 7Road kwangu mimi...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Tarifa zinasema mwalimu simwaba amafariki tarehe 27/04/2019 uko jijini mbeya Hakika tutamkumbuka kwa umahiri wake katika somo la kingereza, wanafunzi tuliopata kufundishwa naye tutamkumbuka kwa...
8 Reactions
107 Replies
18K Views
Habari wakuu Huuu n mtazamo wangu kuhusu majiji yote yaliyopo Tanzania 1.DAR ES SALAAM Hili n jiji kubwa kutokana na kua lango kuu la nchi toka miaka hiyoo uwepo Wa bandali ya mzizima na shughuli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inapouma zaidi ni pale unapokuta kwenye familia wewe ndio msomi kuliko wote halafu choka mbaya..! Hata utoe wazo la maana kiasi gani watu hawakusikilizi wanamsikiliza mwenye hela anasemaje?
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Nakumbuka mzee wa u.pako aliwahi kulitumia kanisani. Kuna dada mrembo na mstaarabu aliwahi kulitumia mbele ya kadamnasi heshimifu. Kuna mmama wa heshima kabisa akalitumia bila hata kushtuka katika...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
kwa mbali namuona nanihii. Nimeziona asubuhi hii nikastuka Kidogo You are strong than what you think...
2 Reactions
186 Replies
28K Views
Katika maisha yangu nimekutana na wanachuo wengi, wengi wao waliniambia changamoto nyingi wanazokutana nazo vyuoni. Wengi waliingia vyuoni wakiwa watakatifu, watulivu lakini walipoondoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Binafsi sijaitumia ila nimefanikiwa kuiona sehemu mbalimbali ikiuzwa kwa wingi sana. Nilipojaribu kuichunguza kwa makini nilipata walakini kama inaweza kuhifadhi mboga kwa usalama na isiwe na...
11 Reactions
142 Replies
22K Views
Mrejesho/Mapitio ya uchambuzi ulifanywa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuhusu video inayodaiwa ni ya Aksofu Gwajima Utangulizi: Nimesoma taarifa/report inayojieleza kwamba ni uchambuzi uliofanywa...
15 Reactions
37 Replies
8K Views
Nipo hapa nasikia wimbo wako wa Rita ukipigwa, ghafla ninakukumbuka. Lakini ni siku nyingi hausikiki katika Tasnia hii ya Sanaa ya Muziki. Uko wapi brother? Unafanya mishe gani huko?
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Wakuu nawaza bado sielewi,nimesoma diploma in water technology siyo rafiki na moyo wangu yaani haiko kwenye haiba yangu ila nilifanya HVO ili nipate sponsors kwa ngazi ya stashada Sasa Niko kazini...
1 Reactions
0 Replies
42K Views
TAARIFA KWA UMMA WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2019 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2019...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu habari kwa sasa nipo ukanda wa ziwa tanganyika kijiji kimoja cha ndani kbs(jina nalihifazi). kwa takriban miezi mitatu sasa nimezoena na watu kidogo ila juzi kunambibi jirani yangu anashamba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunao Machifu wa kale ambao majina yao yanabeba sifa kubwa kama vile kupambana na wakoloni au wavamizi waliokuwa wakiingia Tanganyika wakati huo...lakini wengine walijulikana kwa uongozi wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom