bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,641
Habari za usiku wakuu.
Naamini mko salama na wale mlioko kwenye magumu Mola awatilie wepesi yapate kuwa mepesi kwenu InshaAllah.
Jamani kuna ubishi nimeushikilia tangu jana but hatujaweza kupata jibu,
Mm na jamaa yangu mmoja naye yumo humu Jf baada ya kufuturu tulitofautiana ktk michezo hii miwili:KARATE na MASUMBWI(BOXING) but hatukuwa tukibishana kuhusu michezo yenyewe but Uimara na ukomavu wa wahusika wenyewe.
Ubishi hasa ulikuwa ktk mada kuwa
Iwapo ikatokea JET LEE na MIKE TYSON wote ktk enzi za ubora wao wakazinguana mazima na wakaamua kutoleana uvivu na kushikishana adabu seriously bila kufuata kanuni za michezo yao yaani iwe Free fight (Haoa kumbuka tunaimagine) Je ni nani anaweza kumtwanga mwenzie?????
Katika michezo hii miwili inapofika ktk suala la mazoezi makali na magumu ni upi ambao wachezaji wake wanafanya mazoezi magumu zaidi kuliko mwingine???
Binafsi mm nipo upande wa Karate kuwa ni mchezo ambao wahusika wapo much PHYSIQUE kuliko boxing na kwa mtu mwenye level ya Jet Lee mwenye Dan 5 kiukweli naamini Tyson angekimbia bila kuangalia nyuma.
Karibuni nanyi mtuchangie japo tupate kumaliza huu ubishani.
Sincerely,Bachelor Sugu.