Tabia au hulka hii ya kusahau sahau imetumika mno na viongozi, wahubiri, wahujumu uchumi

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
244
312
Zamani kulikuwa na kikatuni (nimesahau jina sijui Mzee Kishoka au Kimboka?) cha jamaa ambaye husahau sahau hata kina lake! Wengi wakikifurahia ila kikatuni kile kilikuwa kinatuma ujumbe kwa jamii. Kuna ugonjwa mkubwa mno wa kusahau mambo tena mazito na yenye athari kubwa kwa jamii.

Tabia au hulka hii ya kusahau sahau imetumika mno na viongozi, wahubiri, wahujumu uchumi, wahalifu na wengine kuendekeza maovu. Nitoe mfano mdogo tu wa hivi karibuni. Mfadhili wa klabu moja aliahidi kujenga uwanja wa kisasa na kuwekeza mabilioni ikiwa klabu itapata mafanikio ya kuridhisha. Nadhani wakati anatoa ahadi moyoni alikuwa anajisemea "wabovu hawawezi"!. Ghafla klabu ikapata 'mafanikio'! Mfadhili kakumbuka kuna ugonjwa was watanzania kusahau sahau. Kaanza kuutumia. Hadithi nyingiii! Na hii sio Mara ya kwanza. Huko nyuma watani wao nao walikumbana na hii! Ahadi hewa!Hadithi ikawa ndefu.

Lakini sina shida sana na matumizi ya haka kaugonjwa kwenye michezo. Shida kubwa in matumizi ya haka kaugonjwa kwenye masuala ya uhujumu uchumi na uvunjifu wa haki za msingi.

Wenzetu hututania hivi: wape waafrika muda watasahau walikotoka! Give Africans time they will forget where they come from! Ni kweli! Acha mwafrika aende ulaya (anaita majuu akimaanisha kwao machini). Mpe muda! Utasikia TANZANIA BAHATI MBAYA! Bora kuzaliwa mbwa Ulaya! Nashukuru mungu sikuoa au kuolewa Tanzania! na anaropoka bika Hays! Hiyo kapekenywa na kale kaugonjwa ka Mzee Kishoka! Wajomba, wazazi, ndugu wako Tanzania lakini keshasahau! Nduguze wapya! Wazungu! Anadharaulika kwao na ugenini ila hajitambui!

Leo ningependa kuwakumbusha issue nyeti ambayo kila mmoja alipaza sauti. Je wangapi wanaikumbuka? Ni issue ya twiga na palahala kupanda ndege pale KIA na kesi iliyofuatia. Waziri mhusika alishambuliwa mno na kutakiwa ajiuzulu. Hakujiuzulu.Alijua give them time they will forget!Serikali mpya ikamwacha. Lakini kwa kuwa the guilty are always afraid akaamua kuhamia upande wa wale waliomsakama ili apate kinga ya pili. Ukichanganya ugonjwa wa kusahau na kina ya upande wa pili akaona mambo swafiii. Double protection!

Hakuna cha wanaharakati wala nini! Nao kaugonjwa kalekale! Wako busy na kutetea haki za mashoga! Kaugonjwa ka kusahau ni kabaya mno. Kwa kuwa mie sijasahau ngoja nikumegee kale kakesi kwa twigas na palahala:

BY Daniel Mjema, The Citizen
IN SUMMARY
A witness in a case in which four people are charged with illegal export of live animal told the court that he watched four giraffes and other live animals being loaded into a Qatar military plane at the Kilimanjaro International Airport (KIA).
Also Read
Kikwete’s take on three issues stalling Africa’s development
DTB FC qualify for 2nd Division League
Makambo stars as Yanga hit City
Goodies for champs Simba
Led by senior state attorney, Ms Evetha Mushi, the witness said he and his boss, Pakistani Kamran Ahmed, had captured four giraffes.

“At first we seized four giraffes and other animals such as; gazelle, eland and wildebeest and kept them at Kamrani’s animal cage situated at Kwarefu area in Arusha,” Hamisi told the court.

He said three giraffes and other animals died in the cage before being taken to the airport.
“We went back to the game park and captured three giraffes and other animals and transported them into the cage of animals to compensate for the dead ones,” said Hamisi.

Mr Hamis further testified that on November 25, 2010, Kamran instructed them to prepare animals for shipment, an exercise he said which continued until at 3:am of November 26, when they began a journey to KIA.

According to the witness, after arriving at KIA, the contraband was loaded into the Qatar military plane under close supervision of Kamrani and plane’s pilots.

He stated that while the loading work progressed, the 3rd accused, Mr Martin Kimath, appeared and had a discussion with Kamrani.

He said Kamran instructed them to capture more wild animals, including giraffe to supplement those which were trafficked.
The witness noted that doctors from Tanzania Wildlife Research Institute (Tawiri) examined the animals.
 
Back
Top Bottom