Huu ndio Uanaume wa kweli

Huu ndio Uanaume wa kweli

Uanaume haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa malipo ya pesa. Unapokua mwanaume halisi, kuridhika kwako

Thanks me later
Wanaume wa Dar mna shida gani? Mwanaume wa kweli hajisifii hivi, anasifiwa kwa nyimbo na mapambio na wanawake wenyewe! Karash
 
Hivi unazijua mbwembwe za wanawake wewe?mwanamke hata kama siyo wako kwanza kitendo cha kumsalimia tu atakavyokujibu ni kama ana pesa nyingi bank na kumbe hata mchana hajala,hata sisi wanaume sometimes tunawaita ili tu awe hata rafiki lakini kitakavyokutazama utadhani umejikojolea.we waache bana hawanaga maana hao,mwenye maana ni mama aliyekuzaa tu.
 
Yani ndo nipo hivo kabisaaaa.Mpaka wadada naowasaidiaga wengine wananishangaa, wengine wanasema wenyewe "tamuuuuu naomba nikupe papuchi tuu,me nitajisikia vizur nikikupa"
Lakini bado nakataa.

Saidia tuu,usiwe mtu wa malipo.Mungu atakupa tu.
 
Back
Top Bottom