Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa...
Na Bakari Chijumba, Mtwara.
Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira Mtwara(MTUWASA), imesema kutakua na tatizo la upatikanaji wa Maji kwa miezi miwili,Mei hadi July 2019,kwenye eneo kubwa la...
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.
Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu...
Mh Rais ulipo fika mjin masas watu walizibwa midomo ila kuna shida ya umeme kiasi watu wanatamani kama kusingekuwa na umeme tangu asubuh leo hakuna umeme acha siku nyingine yani ni dhiki kuu.
]
Asubuhi ukienda sokoni unabeba kapu kama hili. Kwa wenye magari linakaa kwenye boot ya gari.
]
Mabakuli kama haya yatasaidia kubeba bidhaa kama nyama au unga.
Hapa ndyo utajua kuna hawana mapenzi na nchi yao. Wao wanajali kujipendekeza tu ili waendelee kupewa vyeo.
Hatukuwasikia wakizungumzia chochote juu ya report ya CAG ila leo wanashinda mitandaoni...
Benki ni taasisi ambayo inatoa huduma za kifedha kama kutunza pesa, mikopo, kubadili pesa za nchi mbalimbali na kufanya huduma za malipo. Huduma izi zinaitaji weledi na huaminifu wa hali ya juu...
Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa...
Habari za kwenu masikini wenzangu,
Kitendo cha kushabikia Rais kushangiliwa Afrika kusini
Kitendo cha kushabikia Rais Kuongoza kikao kwa 'kingereza'
Haina Tofauti na...
Nimetafsiri kutoka kwa dada Maria Mhandire wa Lilongwe.
____________
Wanaodhani Afrika nzima haina demokrasia waje wajifunze Malawi. Nadhani sisi ndio nchi ya kwanza kwa demokrasia Afrika na tuna...
Habar wakuu....
Katika zoezi la katazo la mifuko ( lambo) nimejikuta nikiwaza mfumo wa zaman tuliokuwa tunatundika nyama katika miti na kimsingi tulifurahia ule mfumo.
Gafla tena naona tukiludi...
Ndio hivyo
SPORT
Cardiff City and Middlesbrough tracking Tanzanian striker Mbwana Samatta ahead of summer transfers - reports
5:59, 15 MAY 2019
UPDATED16:08, 15 MAY 2019
Genk's Aly Mbwana...
Habarini wote
Kwa mara kadhaa nimenunua salio na kuliacha kwenye simu ili nije kujiunga kifurushi baada ya mda flani lakini kinachotokea ni kuwa nakuta salio limepungua. Ninapowapigia wahudumu...
Eeh wanasema danga kwa faida sio chini kunaumia alafu huna hata cha kukuliwaza, hamisa show of nyingi kila siku anaingia mikataba alafu hadi leo anaishi nyumba ya kupanga,kama wema tu anavyoishi...
Wana JF mimi sina accont ya bank yeyote zaidi ya mobile bank je ni kwa njia ipi naweza tumiwa pesa kutoka nje ya nchi? Au ni jinsi gani yakujiunga ili niweze kutumiwa?
Naombeni msaada wenu
Katibu wa Wafanyabiashara mtaa wa Tandika esema kuwa Wafanyabiashara wamefunga maduka kwa kuhofia kuporwa maduka kutokana na ahadi aliyoitoa Mkurugenzi Jumatatu ya tarehe 12/05 mwaka huu kuwa...
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Wanasayansi wamegundua kuwa baadhi ya wanaume hupunguza uwezo wao wa kupata watoto kutokana na jitihada zao za kutengeneza miili ya kuvutia .
Mazoezi ya kutunisha...
Wana jukwaa pendwa la Jf habarini za leo!
Katika kuja kwangu mara moja Dar es salaam nikitokea zanzibar niliamua nichukue zawadi walau kiduchu kwa ajili ya shemeji yangu sukari kilo 5, cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.