Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna Mtoto wa rafiki yangu ana umri wa Karibu miaka 10 alianza kuvimba nyayo Na kisha kuanza kuchanika chamika nyayo zake kama masagamba, je atumie dawa IPI ya uhakika ili awahi kupona aendelee Na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati wewe una kazi ya kulalamika maisha magumu kumbuka kuna mwenzako alishayaona kuwa ni magumu yeye hakulalamika aliamua kukaaa chini kubuni kajimradi cha laki moja sasa anapata hela ya kuganga...
1 Reactions
1 Replies
809 Views
Watu wawili wakazi wa kijiji cha Kilometa Saba, Kata ya Nkumba, Wilayani Muheza Mkoani Tanga wameuawa na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili anayedaiwa kutoroka kwa Mganga wa Kienyeji...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimejiuliza swali hili kwa muda mrefu Walewale waliokuwa wanampamba Al-Bashiri na kumsifu kwa nyimbo,kumpigia saluti,shangwe na vigelegele ndio hao wamemkamata na kumtupa gerezani Alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Asalam aleikum waungwana, jamani naomba msaada wa haraka kwa mwenye uelewa wa kuangamiza hawa wadudu (Panya). Ndani ya wiki mbili imekuwa tishio kwangu, walianza kama utani mmoja mmoja sasa...
2 Reactions
44 Replies
9K Views
MCHAKATO wa utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa ujenzi wa soko la kimataifa la nafaka ambalo uwekezaji wake utagharimu Sh. bilioni 11 katika eneo la Kwa Sadala, Wilaya ya Hai, umepewa jina...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
UGONJWA wa kipindupindu umeibuka katika Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam na mgonjwa mmoja kulazwa katika Zahanati ya Vingunguti. Aidha, limetengwa eneo maalum kwa ajili ya kupokea na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"Beer'' hutengenezwa kwa mchanganyiko wa nafaka, amira, sukari na ongezeko la uchungu ambao hupatika baada ya kuweka "hops" na baadae kufanyiwa "breweries". Kwa maana hio "beer"zote ni chungu kwa...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Back in 1842, Sir John Herschel invented a method of reproducing documents known as cyanotype. An existing plan drawn on translucent tracing paper could be photocopied by placing it on top of...
1 Reactions
8 Replies
911 Views
Mimi natokea mbezi via morogoro road, nataka nipate msaada wa kufika mpaka kwenye hii kampuni ilipo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzuka wanajeiefu! Najaribu kutafakari tu,hivi bado kuna maslahi ya kusomesha hi Environmental health officers. Mbona kama ni taaluma flani iliyofeli,au hawapo tena? Maana mitaa ni michafu...
0 Reactions
3 Replies
43K Views
Violet Jessop, “Miss Unsinkable”, survived three shipwrecks and collisions, including the infamous and cinematic favorite Titanic. While no one was injured or killed on the Olympic ship collision...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nani kasahau shangwe alilopigiwa Robert Mugabe 2005 kwenye sherehe za kuapishwa Rais kikwete kwenye uwanja wa shamba la bibi?ilikuwa ni balaa,kwa mujibu wa ufahamu wetu wakati huo ilikuwa ni...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za jioni, wanaJF naomba tuwekane sawa. Hizi nywele bandia za wanawake na zenyewe haziozi hata kama ukizifukia kwa miaka 100 ukifukua utazikuta vile vile. Je? Serikali imejipanga vipi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The idea of using horses to quantify power came from James Watt, the Scottish inventor and mechanical engineer who is known for his contributions to improving the steam engine. Another unit of...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
A man is romantically involved with two women. He tells woman #1 "I love you. It's only you" He tells woman #2 "I love you. But there's someone else" Which woman does he love more? And Why??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf Najua huku kuna watu wajuzi wa mambo mbalimbali na kwa namna moja ama nyingine naweza saidika Naombeni kujua taratibu za kaanzisha NG'O kisheria na kimfumo Pia namna gani...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mzee Muhsin wa pale magomeni makanya amenijuza kuwa kinachofanywa na wanasiasa pamoja na wakristo siyo kufuturisha bali ni kulisha chakula wale waliofungulia. Mzee Muhsin amedai kufuturisha ni...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
  • Closed
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima amedai kuwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa homa ya dengue nchini sio za kweli bali ni mradi wa watu kujitafutia pesa. Akihutubia waumini...
1 Reactions
67 Replies
10K Views
Wadau kama wewe ni mwenyeji wa Wilaya ya Tunduru au uliwahi kuishi Tunduru na ukasoma shule ya msingi Muungano jitokeze hapa tuweze kutambuana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom