Startv wamemualika mtu aliyelewa kwenye kipindi cha Agenda 2020 muda huu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,406
Kuna mgeni kwenye StarTv muda huu amelewa chakari. Anacho ongea hata hakieleweki.

Nawashauri watu wa media muwe makini ktk kuwaalika wageni. Hii ni aibu sana...

UPDATES: At 2219 Hours
Hivi sasa Bob Chacha Wangwe ameunganishwa kwenye mjadala moja kwa moja toka Dar
 
Kuna mgeni kwenye StarTv muda huu amelewa chakari. Anacho ongea hata hakieleweki.

Nawashauri watu wa media muwe makini ktk kuwaalika wageni. Hii ni aibu sana.
Hao ndo wanamake headline Hukumbuki ya peere
 
Hahahaha... ni binamu wa pierre liquid
Ameukizwa; una maoni gani juu ya maamuzi ya mahakama kuwazuia wakurugenzi kuwa wasumamizi wa uchaguzi?

Basi yeye jibu lake muda wote ni: kama ni hivyo wabunge, madiwani na akina Ndugai wote waondoshwe maana walitangazwa na hao hao wakurugenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom