Mabaya na mazuri yako asilimia ngapi?

Mabaya na mazuri yako asilimia ngapi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Wakuu ukiwaza je mazuri uliyofanya asilimia ngapi na mabaya uliyofanya asilimia ngapi?,Mabaya uliyofanya yana asilimia kubwa? Au mazuri uliyofanya yana Asilimia kubwa/??
 
Mabaya yng naona kidogo sn, na inapotokezea nafanya baya 1 basi najutia na naomba msamaha
 
Mimi ni binadamu sio malaika mkuu kwanini nisifanye mabaya hata kidogo
 
Back
Top Bottom