Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mungu anajua kwakweli maana wanasiasa walishaivamia serengeti
12 Reactions
21 Replies
357 Views
Tusali wote tumuombe Mungu asitunyamazie.
4 Reactions
15 Replies
314 Views
Wakuu mimi niko salama!. Nirudi kwenye mada nimekuja kugundua target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke kabisa, ingekuwa ni mwanamke basi eva alipokula tu lile tunda biashara ingeishia pale...
3 Reactions
11 Replies
255 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehitimisha Ziara yake ya Kitaifa ya kihistoria nchini Urusi tarehe 05 Juni 2026 na kurejea nchini leo tarehe 6 Juni, 2026.
1 Reactions
2 Replies
150 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
3 Reactions
22 Replies
438 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ukusanyaji wa mapato ya maegesho katika eneo la Ifunda wilayani Iringa na...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Bajaji imekata wese. Dereva ameshuka anaipiga push kama vile anafanya mazoezi ya gym, lakini abiria wote wamebana ndani wanamwangalia tu. Najiuliza, hivi abiria wanajihesabu kama sehemu ya mizigo...
6 Reactions
23 Replies
451 Views
Wakuu, Hii ni kwa zile shule binafsi ambazo hawaruhusu watoto kurudi likizo au hawafuati ile ratiba kufunga na kufungua shule ambayo imewekwa na Wizara ya Elimu, leo Mkenda amezungumza Akiwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Redirect
Baada ya kuwa na ziara yenye mafaniko huko Russia,karibu tena Nyumbani madame President tuendelee na harakati za kupambania Taifa. Aluta Continue!
0 Reactions
– Replies
– Views
Kwa kifupi: Hakuna mtu aliyezaliwa na nyota inayomfanya awe bora kuliko mwenzake. Lakini kuna watu waliopata mwanzo tofauti wa Maisha, na wengine wamebadilisha mwanzo wao wenyewe njiani. Watu...
7 Reactions
56 Replies
516 Views
This was 2019, Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa...
1 Reactions
3 Replies
120 Views
Mwenyekiti wa Chama cha umma Chauma Hashim Rungwe mzee wa ubwabwa inasemekana ndio mwasisi wa biashara ya kuleta magari mtumba used ama second hendi kutoka Japan. Miaka hiyo ya 70 na 80...
7 Reactions
22 Replies
449 Views
👉Kumbe kazi ya uganga wa kienyeji inalipa kuliko nilivyokuwa nikifikiria hapo awali. 👉Ndani ya wiki mbili pekee nimeona uhalisia wa biashara hii ulivyo. 👉Nimegundua vijana wengi wa...
0 Reactions
4 Replies
293 Views
Kuporwa kwa uwanja wa michezo wa Sahara uliopo kata ya Mabibo, Ubungo—ambalo ni eneo la wazi la umma—ni uthibitisho tosha la jinsi wananchi wanavyokosa watetezi wa haki zao pale CHADEMA wanapokuwa...
2 Reactions
4 Replies
174 Views
Kichwa kinajieleza. Kambi imevunjwa leo, kesho wameambiwa asionekane mtu Tifany Hotel, kwenye Account kuna 2M za TFF pekee. Ahadi ya 500M imeota mbawa, wameambiwa waache A/c hela zitaingia ila...
2 Reactions
9 Replies
259 Views
Takribani watu 49 wamekufa kwa kiu katika eneo la mbali la Jangwa la Sahara kaskazini mwa Niger baada ya lori waliokuwa wakisafiria kuharibika, mamlaka zimesema. Kundi hilo lilikuwa likirejea...
5 Reactions
79 Replies
1K Views
Maboss. Naomba mwongozo wa kujitoa kwenye Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) HR ameonesha ujeuri wa kutonipa ushirikiano. Najitoa kwasababu binafsi. Naamini sio kosa Kiutumishi. Asanteni.
3 Reactions
1 Replies
117 Views
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua...
4 Reactions
52 Replies
1K Views
Wakuu, naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wadau wenye uzoefu wa remote work au work from home nikiwa hapa Tz. Nina hamu ya kuanza kujifunza na kuanza kufanya kazi za online kama njia ya kuongeza...
2 Reactions
26 Replies
339 Views
👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉...
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Back
Top Bottom