Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekuwa na kauli inayorudiwa mara kwa mara kwamba sababu ya Afrika kutokuendelea ni dini, na mara nyingi hoja hiyo hulenga zaidi Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha inapochunguzwa...
0 Reactions
5 Replies
154 Views
Nimeandika maarifa, nikimaanisha uwezo wa kutumia akili binafsi kuchakata mambo na kupata majibu sahihi zaidi na sio majibu sahihi kwani kila mtu anaweza kupata majibu ila sio wote wanauwezo wa...
0 Reactions
3 Replies
108 Views
Dar es Salaam, Juni 6, 2026 — Wizara ya Afya leo itahodhi Kongamano la PPP lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHIMBILI-CHPE). Tukio hili limeandaliwa kwa...
1 Reactions
6 Replies
130 Views
Kwenye haya maisha kuna vitu huwa tunajitia wasi wasi na mashaka, mwisho wa siku unakuta mtu anahangaika Kuanzia ujana hadi uzeeni yeye ni wa kuamka saa kumi na moja kurudi saa mbili usiku. Cha...
7 Reactions
32 Replies
406 Views
Taifa Teule La Mungu Wa-israil Wamewakamata Watoto Wadogo wa Ki-Palestina Na Kuwaweka ndani jela Maisha..Aliyechukuwa video kwa siri akirikodi Sauti za Watoto wakati wa Sikukuu ya eid Wakitoa...
1 Reactions
1 Replies
131 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Mhandisi wa Maji wa RUWASA Wilaya ya Busega, Safiel Peter Senzota (37). Tukio hilo...
8 Reactions
14 Replies
401 Views
Asubuhi ya leo wakati nawasili kwenye kiosk changu cha matunda nikakutana na zogo. Kuna kitoto cha miaka kama kumi hivi kiliagizwa kikatume pesa ya marejesho kwenye namba iliyoandikwa kwenye...
3 Reactions
14 Replies
333 Views
ZIARA ya Rais Samia nchi Urusi imehitimishwa kwa kishondo sana jana baada ya Rais Putin kuongoza mkutano wa kundi kubwa sana la wafanya biashara Maneno ya Rais Putin kumshukuru Rais Samia...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Hakikisha ua hili halikosi nyumbani kwako, chumbani kwako, ofisini kwako na darasani kwako! 1. Hili ua ni dili sana. Kwa kizungu linaitwa Snake Plant na kwa utani linaitwa (Ulimi wa Mama Mkwe)...
2 Reactions
5 Replies
171 Views
Watu wengi 'huzani' kufanikiwa ni kufanya kazi kwa bidii bila kujua kuwa kufanya kazi kwa bidii ni kujichosha tu. Nataka nikuulize, mara ya mwisho kutembelea na kufanya sala fupi kwenye makaburi...
19 Reactions
74 Replies
864 Views
Sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano Tanzania inakua kwa kasi ya ajabu. Uwekezaji wa Kirusi katika miundombinu ya kidijitali, setilaiti na mawasiliano unaweza kusaidia Tanzania kuharakisha...
1 Reactions
2 Replies
91 Views
Ni kawaida raia wa marekani na hata wageni kutembelea ikulu ya marekani aidha pale nje kwenye fensi au ndani kabisa Kwa kibali maalumu unachoomba mapema ili maombi yachakatwe. Binafsi kibali...
3 Reactions
29 Replies
265 Views
Swali nililouliza; "Tanzania tuna maeneo ya makumbusho kama bagamoyo na kilwa ila tayari maeneo hayo yenye majengo ya kale yalisha kuwa over polluted na usasa mwingi na watu wengi. Ni vipi maeneo...
2 Reactions
1 Replies
537 Views
Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
2 Reactions
1 Replies
82 Views
Kuna Muda unaweza kujilaumu Sana Kwa Nini?umepoteza Muda mwingi kusoma hii elimu tuliyoachiwa na mkoloni... Kama MTU ana master's degree na Ni winga kariakooo Au afisa ubashiri Yani mkamalia,au...
11 Reactions
35 Replies
396 Views
Habari za Jioni Mabro Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Kichwa cha Habari Hivi Polisi wa Ngazi za Chini Mna nini LAKINI? Maisha ya Kusua-sua, Unafiki wa Ofisini na Laana Inayowafukuza Hadi kwa Ndugu Zenu. Wakuu salamu. Leo nataka niongee ukweli...
9 Reactions
44 Replies
712 Views
Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu, vinywaji kwa bei nafuu, na watengeneza maudhui wa mitandoni...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini...
1 Reactions
0 Replies
78 Views
Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Back
Top Bottom