Rais Samia Arejea Nchini Kutoka Ziara ya Urusi

Rais Samia Arejea Nchini Kutoka Ziara ya Urusi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
476
Reaction score
473
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tarehe 06 Juni, 2026 baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa, St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026 kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Vladmir Putin.
IMG-20260606-WA0034.jpg
IMG-20260606-WA0035(1).jpg
IMG-20260606-WA0036.jpg
IMG-20260606-WA0037.jpg
IMG-20260606-WA0032.jpg
IMG-20260606-WA0038.jpg
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ametua nchini na kupokelewa na Makamo wa Rais pamoja na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama akitokea katika ziara yake ya kikazi aliyoifanya nchini Urusi, akiwa huko alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Vladimir Putin. Moderators rekebisheni siyo Japan ni Urusi a.k.a Russia.

IMG_2416.jpeg
 
View attachment 3602148
Ni kwamba ulikuwa unawahi kuandika ili wenzako wasikutangulie, au!!! Japan, mara Urusi! Umevurugwa?
 
Baada ya kuwa na ziara yenye mafaniko huko Russia,karibu tena Nyumbani madame President tuendelee na harakati za kupambania Taifa.
Aluta Continue!

20260606_122308.jpg
 
Hakuna kushikana mikono
Kwa Mujibu wa mafundisho ya kiisalamu mwanamke ambaye unaweza kumuoa hairuhusiwi kusalimiana naye kwa kushikana mikono au kumgusa au kumkumbatia. Unaweza kumshika mkono, kumkumbatia na kumbusu mama yako mzazi, Dada yako kaka yako.
 
Si tuliambiwa kuwa huyu Makamu anataka kukpindua boss wake sasa inakuwaje tena anakwenda kumpokea?
 
Hahahaah safari yenye mafanikio, toka kuhemea kwa ajili ya familia...
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ametua nchini na kupokelewa na Makamo wa Rais pamoja na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama akitokea katika ziara yake ya kikazi aliyoifanya nchini Urusi, akiwa huko alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Vladimir Putin. Moderators rekebisheni siyo Japan ni Urusi a.k.a Russia.

View attachment 3602148
Eti "Tanzania haiko kwenye vikwazo".
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tarehe 06 Juni, 2026 baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa, St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026 kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Vladmir Putin.View attachment 3602140View attachment 3602141View attachment 3602142View attachment 3602143View attachment 3602144View attachment 3602145
Ungeandika ABDUl na mamake warejea nchini wakitoka Kila Bata urusi
 
Back
Top Bottom