Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini...
1 Reactions
0 Replies
78 Views
Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Alvin and The Chimpanzee Monkey ni katuni fulani ya watoto inayofurahisha sana watoto. Sasa hivi kila nyumba ninayokatisha imejaa Alvin and the Chimpanzee Monkey. I am Outside.
8 Reactions
57 Replies
1K Views
Salute to madam you did well and excellent
4 Reactions
34 Replies
320 Views
KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo. 2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu...
6 Reactions
50 Replies
1K Views
Sasa tunaomba watusaidie tuweze kujitawala kwa HAKI,AMAN pia watukumbushe kua sisi watu weusi sio wanyama kwaiyo tusichukiane
3 Reactions
6 Replies
79 Views
Likizo si muda wa kupumzika tu mbele ya TV au kutumia simu na gadgets nyingine muda wote. Ni nafasi muhimu kwa mtoto kujifunza vitu vipya tofauti na anavyojifunza darasani, kama vile ujuzi wa...
3 Reactions
26 Replies
438 Views
Anonymous
Wananchi tunaoishi Moshono Arusha tunapata sana shida ya usafiri wakati wa asubuhi tunapoenda kwenye shunguli zetu na jioni tunaporudi majumbani. Hali hii imechangiwa na baadhi ya madereva wa...
1 Reactions
5 Replies
395 Views
Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo. Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe...
14 Reactions
155 Replies
3K Views
Unapomwona Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akivishwa joho la heshima ya juu kabisa ya kitaaluma nchini Urusi fahamu kuwa ameingia kwenye kitabu kimoja na viongozi wenye ushawishi mkubwa zaidi...
0 Reactions
5 Replies
146 Views
📍JAMBO NI LEO SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MGENI RASMI: BALOZI DKT. EMMANUEL NCHIMBI - Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania. KAULI MBIU: Dira 2050: TUWAJIBIKE KUKIJANISHA TANZANIA.
1 Reactions
8 Replies
273 Views
Mwanamke Muislamu, kwa mtazamo wa wanazuoni wengi wa Kiislamu na madhehebu makuu, haruhusiwi kuolewa na mwanamume asiye Muislamu, awe Mkristo, Myahudi.
3 Reactions
12 Replies
186 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imekuwa kivutio cha uwekezaji kinachokua kwa kasi zaidi barani Afrika, kwa mwaka 2025 ambapo Hatua madhubuti zimechukuliwa kupitia upya sheria na kanuni...
1 Reactions
2 Replies
107 Views
Katika sintofahamu wanafunzi wa mwaka wa nne wa udaktari KCMC ambao bado wako semester 1 mpaka tarehe 12/06/2026 Kwa mujibu wa ratiba ya chuo,wametakiwa kulipia ada yote ya semester 2 ndipo...
0 Reactions
2 Replies
115 Views
Anonymous
Jeshi la Polisi pamoja na mamlaka nyingine zinazohusika na usalama barabarani zinapaswa kuongeza usimamizi na ukaguzi hasa nyakati za usiku. Kumekuwa na baadhi ya madereva wa daladala wanaotumia...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA URUSI, JIJINI PETERSBURG -URUSI, LEO JUNI 05, 2026.
0 Reactions
0 Replies
73 Views
1. Julius Nyerere Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Haki si hisani. Tunataka anayestahili haki apewe haki yake. Serikali haitavumilia vitendo vya kupora au kuchelewesha haki za wananchi kwa sababu yoyote ile-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba...
1 Reactions
4 Replies
87 Views
HISTORIA INAANDIKWA! Kuanzia 2 Julai2026, Air Tanzania itaanza safari za moja kwa moja kati ya Tanzania na Moscow mara 3 kwa wiki kwa kutumia Boeing 787 Dreamliner. Tanzania imefungua njia mpya...
1 Reactions
11 Replies
255 Views
Sio kwamba najichukia binafsi ila naichukia hii jamii ya kuitwa afrikana. Ni ngumu kukaa katika jamii ambayo utimamu ni adui, utimamu ni kihere here. Afrika aliesoma zaidi yako ni amesoma ili...
6 Reactions
27 Replies
259 Views
Back
Top Bottom