Kichwa cha Habari
Narudia Tena na Naendelea Kuwaambia Nyie Wanaume wa Miaka 30+ Mnaofeli Maisha na Kukimbilia Bodaboda Ili Mfe, Vaeni Sketi Mkaolewe.
Natema nyongo humu Jukwaani na sitaki...
Habari wanaJF
1.Huacha Mapambo, au vitu vilivyotumiaka katika sherehe iliyokuwa miezi kadhaa iliyopita kama sikukuu ya kuzaliwa, mti wa chrismass mapambo ya ukutani ya mwaka mpya nk.
2. Kutumia...
#Shany ni mtanzania anayeishi nigeria kwa miaka mingi kidogo,anatunyetisha hali ilivyo na uhalisia wake!,
#Wale wa upande wapi wajionee na wajiulize,jinsi serekali yetu tukufu inavyo wapenda...
Inakuaje nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000
Kwani bolt wanashida gani na siku zote naenda kwa nauli hyo hyo ikipanda sana kabda sehemu za foleninzile delay...
Baada ya athari kubwa kuonekana katika familia, mke wa Joachim akamtaka aache michezo hiyo, jambo ambalo limeshindikana, na kwa sasa anacheza kwa kificho.
“Hii michezo inashusha sana maendeleo...
Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi...
Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!
Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion...
Hooliganism refers to rowdy, disruptive, and often violent behavior in public spaces. It typically involves vandalism, rioting, or fighting and is strongly associated with unruly crowds, most...
Kumezuka jambo ambalo siyo la kiungwana na halionyeshi kama elimu inatusaidia kama taifa. Mtu analazimishwa awe na majina matatu kwa sababu gani?
Nida na sehemu nyingine za usajili kwa watu...
Niwasanue au niwaache tu.
Dunia ina siri ila hii ya kwao tushaisanukia😁 yaani wanatoka na begi la nguo za kijani wakifika wanabadilisha mkutano ukiisha wanazivua na kuficha kwa mabegi.
Hii ndiyo sababu ya ndoa kua chungu baada ya miaka kadhaa ya kuishi pamoja.
Watu wengi wana upungufu wa maalifa. Yaani hawatumii elimu za ukiroho kuchagua washirika wao kwaajili ya mambo mbali...
Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amewataka wakandarasi wanaotekeleza...
sio wageni na logo hii kwenye huduma za hospital.Ila kuna sehemu nimegusiwa hawa viumbe kwa ujumla jamii ya reptile zote wana siri kubwa ya dawa ambazo kama tukiwagundua basi leo tunaweza...
Ukweli mchungu Huwezi kupata hela nyingi kwa njia za halali, tafuta pesa kwa siri yako ya moyoni
Mada yenyewe:
Wakuu, mimi sitoi ushauri hapa na wala siko hapa kubembeleza mtu. Naandika ukweli...
Mugonile/Mlivyedi
Привет hii ni kutoka hapa chuo kikuu cha RUDN.
Moja kwa moja kwenye hoja.
Nawapongeza wawekezaji kama huyu jamaa ambaye nasikia ni kutoka nyanda za juu kusini huku mbeya...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Stephen Wasira, amesema ujamaa bado ni msingi mkuu unaoendesha sera na mipango ya maendeleo nchini.
Akizungumza na wanachama wa CCM mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.