Mimi ni mdau wa JamiiForums, nipo Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Tarafa ya Nyamhongoro, Kata ya Ibwinza.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitegemea kisima kimoja kwa ajili ya kupata maji ya matumizi ya kila...
Maeno haya yamekuwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu licha uwepo wa miradi mikubwa ya maji kuzunguka maeneo husika.
Hali hii inaathiri sio tu wananchi wa maeneo hao bali pia taasisi za elimu...
Huwezi amini wametangaza viwanja kwenye mfumo wa tausi kama kutimiza majukumu tu. Wametoa siku tano za preview. Viwanja vilitakiwa kuanza kununuliwa tarehe 5/06/2026 saa nne kamili asubuhi...
Serikali imewaeleza wakazi wa Sinza kuwa Mpango wa Uendelezaji Upya wa Eneo la Sinza wa mwaka 2026-2046 haulengi kuwaondoa wananchi katika maeneo yao, bali kuboresha matumizi ya ardhi, kuongeza...
Nimekuwa nikipitia majukwaa kama ya Uchumi biashara ufugaji Kilimo
Nyuzi za majukwaa haya zinaonyesha kuwa viewed na Watu wengi Mfano 8K 9K 5K . Lakini kinachoshangaza Reply unakuta chache sana...
Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya...
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za...
Huyu mwamba kaupata ukuu wa shule akiwa na umri mdogo zaidi zaidi ya miaka 15 iliyopita.Ila hajawahi kuwaangusha Maafisa elimu waliompa dhamana ya kuwaongoza walimu. Maafisa elimu wote waliowahi...
Naomba niandike kwa ufupi
Kitendo cha wewe kujijua ni wewe, kulitambua jina lako, kuutambua vyema mwili wako, kipi unapenda na kipi hupendi, huyo ni nafsi wako mkuu, na huyo ndio wewe, kama...
Amani kwako mdau.
Taarifa kila mtu kaiona kama siyo kuisoma.
Naandika tena, twendeni Urusi!.
Tuna mwezi mmoja huu wa june kutamatika na kufunga mwaka wa kiserikali.
Bunge limepitisha bajeti...
Suala la mmoja wa watoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour (Komandoo), sasa limevuka mipaka ya utapeli wa kawaida na limekuwa jambo la usalama na uchafuzi wa taswira ya nchi...
Assume, fikiria njaa imekukaba kweli kweli. Umetoka nje kutafuta chakula haraka ili kuondoa makali ya njaa, kisha unaingia mgahawa wa kawaida tu kuokoa muda.
Unaagiza ugali au wali na mboga...
Nani mtu wako wa kwanza kumcheki pale unapotaka kufanya maamuzi ya jambo Fulani mathalani masiala ya kifedha,kazi,mahusiano n.k
Yani likitokea Jambo tu lazima umcheki ni nani huyo?
Inawezekana kizazi chake kilikuwepo Zanzibar na ndio kinaendelea kufanya haya kwa taswira ya znz inaonyesha kulikuwa na waganda wengi mpaka kuwepo mapinduzi.
Tuje kwenye mada sasa.
Ukifatilia...
Mkataba wa Rwanda Development Board (RDB) na Arsenal umeisha msimu huu wa EPL (2025/26)! Kwahiyo jersey za Arsenal hazitakua na Visit Rwanda mkononi tena.
Jimbo liko wazi, Waziri wa Michezo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.