Kichwa kinajieleza.
Kambi imevunjwa leo, kesho wameambiwa asionekane mtu Tifany Hotel, kwenye Account kuna 2M za TFF pekee. Ahadi ya 500M imeota mbawa, wameambiwa waache A/c hela zitaingia ila madogo hawana imani maana hakuna ambacho walishawahi kuahidiwa wakatimiziwa.
Haya mambo yanaumiza sana, madogo wapewe chao bhn.