HALMASHAURI ya jiji la Arusha imetiliana saini mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 1.3 na Kampuni ya Ujenzi ya BQ Constractors limited ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ujenzi wa Wodi ya...
Milele tulikuwepo!!!? Tumekuja duniani kwa njia ya kuzaliana. Milele tutaishi!!![emoji15] Milele tutaishi!!!? Ama milele tutapumzika!!!?[emoji848][emoji848] makazi yake ya milele!!?[emoji848] ni...
Asilimia kubwa ya mashoga wanakufa mapema kwa sababu hawatumii vitu asilia mfano vyakula na matunda.
Ukila matunda kama ndizi,matikiti,machungwa, parachichi nk yanakupa muonekano wa kiume zaidi...
Niwasalimu ndugu zangu asa wale walipa kodi wazuri kupitia vinywaji vigumu( hard drinks) na vinywaji nusu vigumu kama bia yani ( semi-hard). Back to the topic kuna machine za kamali za kichina...
Mzuqa!
Wazir mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kaangukia pua vibaya huko Uturuki katika uchaguzi wa marudio wa mayor wa instanbul baada wa mgombea wa chama chake kushindwa vibaya zaidi ya...
WAKUU,
NIPO SAFARINI,
NIMEFIKA SEHEMU INABIDI NILALE ILI KUKICHA NIENDELEE NA SAFARI.
KUNA
1. LODGE CHUMBA 80,000/= NA
2. GUEST HOUSE CHUMBA BUKU TATU JERO.
NIENDE WAPI?
SHAURI KAMA MWANAUME...
Huo hapo ni mshahara wa mwalimu mwenye degree, kakaa darasani miaka mingi lakini anaishia kulipwa kiasi hicho sawa na Tsh 15000/= kwa siku.
Kwa mshahara huo ulipie nyumba, umeme na maji, mshahara...
Habari wakuu.
Wakuu naulizia wapi nitaweza kupata mkopo kwa mtu binafsi kwa mwanza.!! Nilikua nahitaji loan kama laki 8..na nitaweka bondi kadi ya gari yangu.
Nitashukuru nikifanikisha maana JF...
......Waamerika ni watu wabaya, wameanza kutia mdomo Dar es salaam ya Watanzania, maskini wee, mji mzuri kwa jina lake, ila sasa unatafutiwa sababu kuchafuliwa.
Waamerika ni ndumi la kuwili, ni...
MAMBO YA MOROGORO YAMENISHINDA TABIA NGOJA NIRUDI DAR KESHO.
Kisaki na Dumila Morogoro.
Mwanaume huyu anayewaamulia mabinti ndiyo chanzo cha ugomvi,wanawake hawa mmoja anatoka Dar es salaam na...
Mzuqa!
Ndugu Alfayo Kidata aliposimamishwa ubalozi Canada na kurudi nyumbani wengi tulijua Pasco wetu wa JF atahula sasa hivi. Tulikuwa na uhakika sasa Pasco atakuwa Balozi Canada.
Yani...
Habari wakuu Mimi Kama mtanzania sijapenda uwezo wa huyu kocha wa timu ya taifa unamuacha mtu Kama ajibu kiuongo bora wa ligi yetu unamuacha mkude kiuongo mkabaji unashindwa kuwaanzisha nyoni...
Ukisoma gazeti la mwananchi la jana, kuna picha inamuonesha binti akiitwa " Kasra" simjui anagawa magodoro kwa mjema Dc Ilala. Kwamba walimu wazalendo ndiyo wamegawa!
Hawa ni walimu wa wapi...
Wakuu,
Huyu Rais mstaafu tunapomsifu tujue yeye kazi yake ilikuwa kuuza nchi na tena bila aibu bado tunamsifu.
Mkiona cha moto tunachopitia kwenye gesi inasikitisha maana aliuza gesi yote bila...
Habar ndugu wana jf.hivi kwa dar mizani inapatikana wapi kwa wingi na kwa bei gani.na nitatambuaje ubora wa mzani na kama umepigwa chapa ya Wakala wa vipimo?
Habari zenu hapa wandugu kwa wakubwa na Wadogo. Wandugu nimekuja hapa naomba ushauri kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda na kuwaza Kuishi Nae. Ni binti wa Makamo ambae aliachishwa kuendelea na...
MPYA KUTOKA DODOMA, WABUNGE CHADEMA WALIOVUTA RUSHWA
Kufuatia ujumbe wa awali ulionaswa baadhi ya NGO zinazopinga marekebisho ya sheria ya NGO, zikiwasiliana jinsi zilivyogawa rushwa kwa wabunge...
Kumekuwa na taasisi nyingi za kiraia zikitaka kufanya utafiti wa mambo mbali mbali kwenye mikoa na halmashauri zake, taasisi nyingi ni zile za wazawa na chache kutoka nje.
Pamoja na taasisi hizo...
Hakika msiba unauzunisha sanaaa ila mwandishi wa habar anakila sababu za kujizuia na sio kulia mbele za wafiwa ili aweze kutimiza wajibu wao!
nasema huyu hafai unaweza kupelekwa vitani ukalipoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.