Wakuu wapi naweza kupata mkopo kwa mtu binafsi kwa MWANZA

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,625
2,000
Habari wakuu.
Wakuu naulizia wapi nitaweza kupata mkopo kwa mtu binafsi kwa mwanza.!! Nilikua nahitaji loan kama laki 8..na nitaweka bondi kadi ya gari yangu.

Nitashukuru nikifanikisha maana JF nitapata mawazo na msaada Wa kujenga.
 
Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,793
2,000
Habari wakuu.
Wakuu naulizia wapi nitaweza kupata mkopo kwa mtu binafsi kwa mwanza.!! Nilikua nahitaji loan kama laki 8..na nitaweka bondi kadi ya gari yangu.

Nitashukuru nikifanikisha maana JF nitapata mawazo na msaada Wa kujenga.
Fafanua zaidi utalipa ndani ya muda gan hilo denii? Je utatoa riba ya kiasi gani? Hiyo Gari yako ni Gari gani? E.t.c

Weka detail za kutosha mkuu..!
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,625
2,000
[QUOmkue African, post: 19171735, member: 159800"]Fafanua zaidi utalipa ndani ya muda gan hilo denii? Je utatoa riba ya kiasi gani? Hiyo Gari yako ni Gari gani? E.t.c

Weka detail za kutosha mkuu..![/QUOTE]
Yes mkuu gari yangu ni Toyota Caldina..na nikipata loan nitalipa kwa miezi 3 kwa upande Wa riba sijajua inategemeana na atakae nikopesha atatoa riba kiasi gani..!!
Ndio mkuu..!!
 
nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
387
1,000
Mm npo dar naweza kukupa unipe 1100000, mwezi wa 3, sema kama una MTU dar anayeweza weka gari yake bond aje, mm sitaki kadi ya gari, gari yenyewe ndo nataka iBaki kwangu ukiweza nitafute ukuona riba yangu kubwa sepa pesa ngumu saivi
 
Chicko89

Member
Aug 25, 2016
61
125
Habari wakuu.
Wakuu naulizia wapi nitaweza kupata mkopo kwa mtu binafsi kwa mwanza.!! Nilikua nahitaji loan kama laki 8..na nitaweka bondi kadi ya gari yangu.

Nitashukuru nikifanikisha maana JF nitapata mawazo na msaada Wa kujenga.
Nenda Access bank! But lazima uwe na biashara halali
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,331
2,000
Habari wakuu.
Wakuu naulizia wapi nitaweza kupata mkopo kwa mtu binafsi kwa mwanza.!! Nilikua nahitaji loan kama laki 8..na nitaweka bondi kadi ya gari yangu.

Nitashukuru nikifanikisha maana JF nitapata mawazo na msaada Wa kujenga.
njoo inbox
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom