Heshima kwenu wanajukwaa..!
Ni muda mrefu sana nimekua nikitumia miwani ya macho...
Kwasasa ninafikiria kuanza kutumia contact lenses,kwasababu matumizi ya miwani kuna wakati yananipa changamoto...
Habari wanaJF wote.
Tanzania tumekuwa tukihangaika sana tutumie njia gani kuharakisha kasi ya maendeleo ya uchumi na michezo. Njia zote tulizotumia zimeshindwa, angalia hali halisi ya uchumi na...
1. Don’t Go Broke Trying To Look Rich:
Some of us just want to show off to friends and prove a point to the opposite sex. To delude the people we are worth a million dollars, we place our lives...
Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema mwezi wa pili ndio atatulipa,anatunyanya...
Kiungo wa kimataifa wa Uholanzi aliyesajiliwa na timu ya FC Barcelona, akitokea timu ya Ajax FRENKIE DE JONG Yupo Tanzania wilayani BABATI Kwa mapumziko na anatarajiwa kutembelea hifadhi ya...
Kwa mfumo huu wa elimu usiowafanya watu kufikiri ni vigumu sana kumwelewesha mru umuhimu wa kiswahili akuelewe.
Vijana wanashindana kukariri masomo na kuyatapika kwenye mitihani na mbobezi basi...
Habari wadau, kuna shindano la kushindana kukaanga chips mayai ambalo litaanza kwa dar na viunga vyake kwa lengo la kutafuta mtaji wa biashara kwa wafanya biashara wadogo wanaotaka kuanzisha...
Nimejaribu kubonyeza *152*00# hadi hatua ya mwisho ujumbe ukanijia "Namba za usajili hazijapatikana"
Nani anaweza nisaidia au wataalamu wa NIDA naomba msaada wenu kwa faida ya wengi
Naomba kuwasilisha hii mada samahani naomba kuwekwa sawa tu.
Jicho ambalo limetobolewa mtu analijuaje kwa kulitizama tu bila kufanya chochote kile..?
Linakuwa limetoboka, halinda marinda, au...
Kuna watu hapa jamvini wana tabia ya kuanzisha story zao kwenye uzi wa mtu, unakuta mtu ameanzisha maana wengine badala ya kuchangia wao huanzisha story, mara kusalimiana ! Wanabodi hili ni jambo...
Mimi ni mkristo wa dhehebu la Lutheran Church na nimekuwa nikipenda Sana kujifunza habari za Mambo ya Mungu na niliamua kuanza kusoma vitabu vyote kuanzia vitabu vya wayahudi biblia yao ya...
Mimi pia nilikuwa mtumiaji mzuri wa fegi yaani chainsmoker hasahasa ubalozi,sport na safari nashukuru mwenyeziMungu nikafanikiwa kujitoa siku hizi navuta sigara labda niwe vyombo nimelewa au niwe...
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ibambilo Kata ya Bulega Wilayani Bukombe Mkoani Geita,Juma Maziku, amefariki dunia saa chache baada ya kuokotwa akiwa ametupwa kwenye barabara iendayo Mnekesi Wilayani...
Nimesoma katika kitabu cha Wayahudi, wazazi wetu wa kwanza Adamu na Hawa kule Eden waliishi kama fungate. Chakula cha kumwaga pamoja na mifereji ya maji na mvinyo. Hakujaliwa na magonjwa, fitna...
Kuna mabadiliko ya sheria mbali mbali yanafanyika kwa hati ya dharura.
Kuna Companies Act
Films and Stage plays Act
NGO Act
Societies Act
Statistics Act.
Nawaomba tuyafuatilie, tusidhani...
TAKUKURU inawatafuta wamiliki wa kampuni ya Meis Industry LTD inayodaiwa kutoroka na shilingi bilioni 46 walizokuwa wamekabidhiwa kwaajili ya kujenga kiwanda cha saruji mkoani Lindi.
Taasisi ya...
LUKU
24210241618888
GePG13EMDB04883874
56.2KWH
3228 0834 3993 5755 3151
Cost 16,393.45
VAT 18% 2,950.81
EWURA 1% 163.93
REA 3% 491.81
TOTAL 20,000.00
Haya ni malipo ya luku na makato yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.