Wabunge wengine wa Upinzani wavuta mshiko Kupinga SHeria ya NGO

blix22

Senior Member
Jun 23, 2013
179
1,000
MPYA KUTOKA DODOMA, WABUNGE CHADEMA WALIOVUTA RUSHWA

Kufuatia ujumbe wa awali ulionaswa baadhi ya NGO zinazopinga marekebisho ya sheria ya NGO, zikiwasiliana jinsi zilivyogawa rushwa kwa wabunge kama Zitto Kabwe na Kubenea, orodha zaidi ya wabunge wahongwaji imepatikana.

Wabunge hao wanahongwa kwa lengo pana zaidi la baadhi ya NGO hasa zinazopewa mabilioni ya fedha kuchafua amani nchini au kuzitakatisha kwa shughuli nyingine kama ugaidi, kujaribu kuzuia sheria hiyo ili waendelee kunufaika.

"Ni aibu hapa Dodoma, sasa hivi wabunge wa upinzani ni kama wamekuwa mapoyoyo au mawakala wa shetani. Wanahongwa hovyo, wewe subiri utasikia siku ya kuchangia," kilisema chanzo chetu kutoka Dodoma

Katika orodha ya sasa ya walioongezeka kupokea mlubgula ni:

1. Dkt. SWRE SEMESI - CHADEMA viti maalum

2. PENDO PENEZA - CHADEMA Viti maalum na

3. ALLY SALLEH - CUF
na JEBRA KAMBOLE wakili
 
kibhojela

JF-Expert Member
Mar 7, 2018
993
2,000

Umeandika kwa kutumia fuzi la kyuma kya mama yako!
 
wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
6,210
2,000
Ungeweka na kiasi walichopata Kila mmoja wao... Na akaunti zilizofanya hiyo mihamala....

Watanzania sio wajinga.
 
Top Bottom