Equipment
Senior Member
- Feb 14, 2017
- 187
- 168
Habari wakuu Mimi Kama mtanzania sijapenda uwezo wa huyu kocha wa timu ya taifa unamuacha mtu Kama ajibu kiuongo bora wa ligi yetu unamuacha mkude kiuongo mkabaji unashindwa kuwaanzisha nyoni shabarara mwisho wa siku washambuliaji wanarudi nyuma kucheza beki