Nimekuwa na matamanio ya kufanya biashara yoyote halali ili niweze kujikomboa kiuchumi na kupiga hatua kimaisha kama kijana
katika harakati za kupambana kutafuta kianzio, nimejitahidi sana kwa...
Habari za majukumu wadau wa JF.
Makamu mkuu wa shule ya secondary Sawe iliyopo kata ya Masama wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro anatuhumiwa kumtia mimba mwanafunzi.
Mwalimu huyo jina kapuni...
Unakuta Ni mtu mzima ameenda sehemu kuomba pesa akapewa 10000 na mtu akirudi kuwahadithia anaanza kunogesha masimulizi utasikia anakwambia."oyaa Babu eeh nilienda kwa mshikaji kwenda Kucheki...
Na Abdallah Amiri -Igunga
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, inawachunguza askari polisi sita wa Kituo cha Igunga kwa tuhuma za kuomba rushwa ya...
Tanzania imetia saini mkataba wa kupatiwa fedha za msaada wa Sh60 bilioni kutoka Serikali China bila ya masharti yeyote ambapo Serikali ya Tanzania itaamua matumizi yake katika miradi mbalimbali...
Habari waungwana,
Nimenunua Umeme wa efu nane Kwa njia Ya M-pesa, baada Ya muda wakaniambia kuna tatizo LA mtandao, nikawapigia simu wanirudishie hela yangu,wakasema nisubiri nitatumiwa umeme...
Kama una kazi ya kuingiza kipato na kuweka akiba, jaribu siku moja kutembea kwenye mikoa na wilaya mbalimbali Tanzania, hutarudi bure kifikra. Nenda Kigoma, Mbeya, Tanga, Katavi, Iringa, Pwani...
Kuna move imezuka awamu hii ya waTanzania kuitwa na kujiita wanyonge, hii haikubaliki kwani neno mnyonge ni neno lenye kukatisha tamaa, lisiloleta maendeleo na lenye kutufanya tuzidi kubweteka...
Habarini wanaforum wenzangu.
Hatiamae kilio cha muda mrefu cha wakazi wa kata ya Lizaboni mjini Songea kimefikia ukingoni baada ya kamati ya utekelezaji ya UVCCM mkoani Ruvuma kuzindua kivuko...
MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Matemanga wilayani Tunduru, Hekima Gregory, maarufu kwa jina la Mvomela (49), amefariki dunia baada ya kunywa pombe ya kienyeji aina ya gongo.
Wakati mwalimu huyo...
Aisee, naandika kitu ninachokijua na nakiona kila siku kwa ndugu jamaa marafiki majirani na watu wanaonizunguka kiufupi, huku wengine tukikaa tukiongelea mambo hayo hayo kila siku.
Kiukwel...
Amani Kwenu Wana Jamii Forums.
Baada Ya Hivi Karibuni Serikali Kuliingiza Zao La Soya Lishe Kwenye Mfumo Wa Ununuzi Wa Stakabadhi Ghalani Naona Kuna Changamoto Imeaza Kujitokeza.
Changamoto...
Jaman asalam alykuum, nataka kujua ni kwa nini wanawake wengi wanaotoka mkoa wa njombe wana ndevu. Karibia 65% ya wanawake wa mkoa wa njombe wana ndevu. So nataka kujua sababu ni zipi zinapolekea...
Hii medical capitation nyie uongozi wa hombolo itaondoka na watu. Tunaipeleka kwa Waziri wenu kisha baba mwenye nchi. Kwanini mchukue 10000 zaidi wakati mtalipwa 5% na NHIF. ridhikeni na...
Naandika niko eneo la tukio kata ya Lugarawa wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe. Walimu wakuu wametakiwa kukusanya kodi kwa walimu wao na raia wengine.
Iko hivi: katibu TAWALA wa wilaya aliwaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.