Leo ilikua Siku ya gawio LA mpesa.Mimi nimepewa 50 wewe je.
Hii ela kwa mtu mmoja mmoja ni ndogo saaana. Me nawashauri Mpesa wawe wanakusanya then wanatoa msaada kwa wenye mahitaji maalumu.
Wakuu Habari za asubuhi? Kwa mdau anayefahamu mahali ambako naweza kupata zile mashine zinatumika kushonea mifuko ya unga wa sembe, dona au ngano. Iwe kwa Dar au Mwanza. Nitashukuru ukiweka pia...
TBC ni Televisheni ya Taifa na inaendeshwa kwa kodi za wananchi wote, bila kujali itikadi zao za kisiasa
Kutokana na hali hiyo ni LAZIMA, TBC iendeshwe kwa matakwa ya walipa kodi wa nchi hii...
Habari za wakati huu wakuu,polen na hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa letu la Tanzania.
Naomba nirudi katika mada.nimejiunga na jf takriban miaka mitatu Sasa na ni mfuatiliaji mzuri wa mada...
MKURUGENZI wa kampuni ya Uwindaji ya Oterlo Businness Coperation (OBC), Isack Lesian Mollel (59) jana ameshindwa kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha katika kesi yake ya kuajiri raia wa kigeni...
Yapata muda zaidi ya mwaka sasa,ZAHANATI YA MAHENGE Inayopatikana mkoa iringa, wilaya kilolo, kata ya mahenge, kijiji cha mahenge hakuna dawa yaani hata panadol unaambiwa kanunue,
je kuna umuhimu...
Habari Wakuu Niko mkoa wa Kilimanjaro kwa Mwezi huu kikazi kwa wilaya ya Mwaga na Same aisee nimepata wenyeji Kata ya kisangara na Same-hedaru tumeinjoy Sana Kila ikifika mda wa kwenda kulala...
Nina ndugu yangu anafuatilia mafao yake baada ya sehemu alipokuwa anafanyia kazi kufunga shughuli zao na wafanyakazi kuondoka. Sasa ndugu yangu anafuatilia kulipwa mafao yake.
Swali: Utaratibu...
Watu watatu wanaume wasiofahamika, wamekutwa wamekufa na kutelekezwa maeneo ya Mjohoroni wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, huku miili yao ikionesha majeraha maeneo tofauti pamoja na kuvuja damu...
Mara wabunge kwenda misri
Mara wengine kuwa karibu na wananchi kwenye matukio
Mara wengine kama alivyofanya mbowe
TAARIFA KWA UMMA
KILA LA HERI TIMU YA TAIFA, TAIFA STARS
Chama cha Demokrasia...
CAN PEOPLE CHANGE? CAN A COUNTRY CHANGE?
Twenty years ago I visited China for the first time. I walked into a computer shop and asked for the price of a laptop and the salesman curtly replied...
59 On the eighth day they came to circumcise the child, and they were going to name him after his father Zechariah, 60 but his mother spoke up and said, “No! He is to be called John.”
61 They...
Kwanza nikiri wazi kuwa dhumuni ya uzi huu ni kubadilishana ujuzi haswa kwa wale wanaopenda kusafiri kama mimi.
Ukitaka kuijua nchi vizuri basi endapo inatokea safari ndefu, tumia usafir wa...
Habarini wakuu.
Kila Siku mie huwa nataka kumfahamu Huyu bwana au bibi aitwae Athumani wengine humwita asumani ni NANI Ktk ulimwengu huu?
Huyu mheshimiwa anapenda sana kujitukuza na kujifananisha...
Wakuu naomba nisaidieni kunielewesha... Nimepokea barua ya kudaiwa kodi ya nyumba/kodi ya pango kutoka TRA... Sasa hapa kuna sehemu imeandikwa "Thamani ya kutozwa kodi shs 5,000,000/=.." ..
Hiyo...
Wakuu,
Napenda kufahamu ni utaratibu upi mzuri wa kununua kiwanja? Kwa maana ya mashahidi. Kuna mambo mawili nimeambiwa.
1. Shahidi anaweza kuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa
2. Shahidi anaweza...
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema litamtia hatiani dereva yeyote mwenye umri chini ya miaka 35 na anayezidi miaka 60, atakayekutwa akiendesha basi linalobeba wanafunzi maarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.