Erdoğan kaangukia pua uchaguzi wa Mey Istanbul Uturuki

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,615
Mzuqa!

Wazir mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kaangukia pua vibaya huko Uturuki katika uchaguzi wa marudio wa mayor wa instanbul baada wa mgombea wa chama chake kushindwa vibaya zaidi ya kura hata kuzidi kura za uchaguzi wa kwanza.

Mpinzani wa chama Republican People's Party (CHP) candidate Ekrem Imamoglu ameibuka kidedea na pigo kubwa kwa Erdoğan na chama chake PK

Uchaguzi wa kwanza mpinzani aliongoza kwa kura elfu 17 tu ikabidi uchaguzi urudiwe ndio aibu ikaja hata kabla kura kukaribia kuisha kuhesabiwa mpinzani alikuwa akiongoza kwa kura laki 8 Erdoğan akakubali yaishe nakumpongeza mpinzani.

Erdoğan alishawahi kusema kushinda umeya wa instanbul ni kama kushinda Turkey.

Wakati Erdoğan alikuwa na mahusiano mazuri na Israel Uturuki ilikuja juu sana kiuchumi na mambo yake Erdoğan yalienda vizuri sana. Hii inajulikana na haina ubishi Mungu mwenyewe alitamka ukiilaani Israel na wewe utalaaniwa na ukiishamblia Israel ni kama unamshambulia Mungu mwenyewe.

Lakini ghafla tu sijui Erdoğan alikula maharage ya wapi akaanza kujenga urafiki na marafki wa ajabu ajabu Iran na akina Morsi Muslim brother Hood maadui wa Israel na ndipo hapo mambo yakaanza kumwendea vibaya.

Majuzi tu alifulia vibaya ikabidi Althani Emir wa Qatar ampige jeki 14 billion dollars (Qatar ni washezi sana) 14 billion dollars maamaee. Ndio maana Erdoğan amelivalia njuga ishu ya Kashoggi kumfurahisha Althani kwasababu yeye na MBS hazipandi.

MBS kawa mjanja ameamua kuwa rafiki na Israel na kweli anabarikiwa dogo anachanja mbuga kwenye maendeleo kama hana akili nzuri vile na mtaona visheni 2030 itakavyofanikiwa kwa kishindo.

Cc kidadari kimsboy @misile of nations MakinikiA Frank Wanjiru Elungata
 
kuna siku nimekaa zangu, watoto wanachek tv sijui ndio Fatmagul nikasikia jina la Erdogàn nikajua jamaa ameachana na siasa ameanza kuigiza
 
Kweli kila nchi na taratibu zake za uchaguzi!

Hivi kama hapa kwetu unaweza linganisha na Magufuli iwe kugombea umeya wa Dar!
Au kichwa cha habari na maelezo havilingani?
 
Back
Top Bottom