Mimi kuna moja hivi ya mdada anabesela kubwa sana nyuma ipo kwenye kila fonti fedi lakini ukifungua uzi hauikuti.
ShukraniMkuu ukitaka usiione hiyo ama shinginezo zinazotokea kama hivyo fata huu mwongozo
Nenda kwenye SETTING ya jf app.
Shuka hadi kwenye SHOW PHOTO PREVIEW halafu toa kitiki.