"Korosho ile tumenunua, na sisi lengo letu ni kutafuta soko lakini msisahau kuna mabeberu watafanya mbinu ili zisinunulike sasa wasituchezee tukiona wanatuzingua tutakula wenyewe, tutazigawa kwa...
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani Mara linamshikilia mwalimu Kangoyi Marwa wa shule ya msingi Nyamumbara wilayani Tarime kwa tuhuma za kumjeruhi mwanafunzi wa darasa la tatu...
Haijalishi ni msomi au si msomi.Yafaa sana uendelee kusoma.Na kila aliye na fursa ya kusoma afanye hivyo kwa hiari na shauku kuu tena apate na kuwafundisha wengine (1Tim 4:13).Hakuna elimu...
Abiria mmoja aliyetambulika kwa majina ya Mwanaidi Said (83), aliyekuwa anasafiri kutoka Dar Es Salaaam kwenda mkoani Tabora, amefariki dunia jana alfajiri katika kituo cha mabasi cha Ubungo akiwa...
Wakati mwingine unaweza kuwa ulijiuliza bei za bidhaa au gharama za huduma hupangwa kwa kuzingatia vigezo gani?
1. Mfumo wa uchumi (economic framework) unaotumiwa na asasi hiyo.
2.Matakwa ya...
Habari wadau wa humu JF.
Mimi ni mwananchi wa mkoani huwa natumia sana huduma ya mabasi wakati mwingine maroli kutuma mizigo yangu mbalimbali kutoka DSM kuja huku nilipo,huwa naandikiwa risiti...
Lipo swala yani tatizo LA madereva wa mabasi makubwa .huwa wanaovertake barabarani. Kwa nguvu bila kufuata sheria yani huwa wawapo barabarani. Huona na kujisikia ya kua barabara yote ni Mali yao...
Habari za wakati ndugu zangu ,
Mimi ni Mtanzania ninayeishi nchini kenya, nimekuwa nikipata shida kwa upande wa mawasiliano kutokana na kukosa laini za nchi hii , nimejaribu mara kadhaa kwenda...
POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora inamshikilia mfanyabiashara kwa tuhuma za kumjeruhi kwa bastola aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Saint Leo Ndugu Teophano Mvula.
Kamanda wa Polisi Mkoa...
Mimi ni mdau wa usafiri wa umma na kwa kiasi fulani nimetembea katika maeneo tofautitofauti. SUMATRA ikiwa ni mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu na majini, wanafahamu kwamba maeneo mengi ya...
Yaani matumizi makubwa mpaka najiuliza nilikuwa sijui hapa dar natumia hela nyingi Sana halafu hela yenyewe hakuna yaani mikamari imejaa,mipombe,mistarehe, mihadarati,mihoteli,midemu..kwa siku...
Polisi mkoani Tabora inamshikilia mwalimu wa Shule ya Msingi Shila wilayani Nzega, Ferdinand Felix (33) kwa tuhuma za kujifanya polisi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley amesema leo...
Tanzania kuna idadi kubwa ya wanawake.Idadi hii inapelekea tuione ina maana katika kutafuta tarakimu ya fedha kutokana na kuchangia kwao.
Ikichukuliwa kuwa wanaume wengi huvuta sigara na kunywa...
Afrika na Tanzania ikiwemo inasemekana ni Maeneo yenye raslimali nyingi ukilinganisha na maeneo mengine ya Ulaya.
Wataalamu wa demografia wanaafiki kuwa uwezo wa oneo la Afrika kubeba watu wake ni...
Mi naipenda timu yangu ya taifa sana tu na naumia ikifungwa ila nachukia pale ninapoona tunatoka kwenye michezo tunaingiza siasa za majukwaani.
Eti makonda ndio muhamasishaji mkuu hii si sawa...
Habarini Wakuu,,,,,
poleni sana kwa mihangaiko ya maisha . Poleni sana pia kwa kipigo cha Taifa stars na Harambe stars ,,,Niende kwenye mada husika
Zimebaki wiki mbili shule zifunguliwe lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.