Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Agustino Moshi (70), mfungwa aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa ubakaji, amejiua kwa kujikata mshipa wa fahamu kwa kutumia wembe akiwa ndani ya Gereza la Karanga mkoani...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Bi. Lucy Mganga umetenguliwa kutokana na utendaji wake kutoridhishwa Taarifa iliyotolewa na Waziri Wa TAMISEMI, Selemani Jafo imeeleza kuwa uteuzi wa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kipindi Tanzania inaheshimika mpk Caribbean Barbados Jamaica na duniani kote mwanamziki Sophia George aliwahi kuitaja Tanzania kwenye wimbo wa girlie girlie miaka ya 80 mwanamama huyu sijui yuko...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
TANESCO, kuna malalamiko sehemu mbalimbali za nchi kuhusiana na mpango wa usambazaji umeme vijijini (REA) ila sauti za wananchi zimekosa uwakilishi. Nitazungumzia yale niliyoyaona huko Rungwe...
8 Reactions
71 Replies
9K Views
Nimejaribu kuangali team nyingi nazoweza kusema zinaonesha mafanikio kila miaka ni zile zinazoruhusu raia pacha. Ukiangalia kama jana team ya Algeria karibia wote wamezaliwa France na baadae...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanaadamu sio watu wema kabisa. Kweli unamuua mtu kwa tamaa ya mali tu? Halafu wauwaji wanaonekana ni masharobaro tu kweli ndo wamekosa shughuli halali ya kuwaingizia kipato. ? Wito wangu kwa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Amina Omari, Handeni Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Mzee Mkongea Ally amegoma kuzindua mradi wa Daraja la Mfuto, lililopo katika eneo la Bwawani wilayani Handeni, kutokana na ujenzi wake...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
30 Juni, 2019 Nakuandikia nikiwa nimeguswa sana na hatua zilizochukuliwa dhidi yako za kukuondolea ubunge. Imeniuma kama ilivyowauma Watanzania wengine ambao wanakumbuka kupigwa kwako risasi...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Vijana karibu 6000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mara baada ya kumaliza mkataba wao na JKT. Nafasi za...
14 Reactions
162 Replies
33K Views
Yaani kila ukitembea dk5 lazima ukutane na taahira, nimetembea mikoa mingi ila Kgm hawa watu wamezidi, nimeuliza nikajibiwa ni wakulogwa kwa nababu za kibiashara au tofauti zingine za kijamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kitu mimi sijakielewa hadi leo kwanini kipo hivi katika hii nchi yetu kwa ujumla..hili swala la miaka 18 ndio iwe kipimo cha mtu anaejitambua limetokea wapi na chimbuko lake ni wapi...
3 Reactions
75 Replies
8K Views
Kwa ambao siyo Wenyeji wa Maeneo ya Kakola Kahama, apa karibu kabisa( kwenye fensi ya Mgodi wa dhahabu wa Barrick wa Bulyang'uru) kuna Eneo linaitwa no. 2, baada ya mgogoro unaondelea baina ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiwa na jiwe , tembelea either Moshi , Arusha or Mwanza ili uweze kula bata kisawasawa. Hutajutia. Hakuna jam , hakuna washamba , hakuna shobo wala woga katika kula kwako bata. Madhari nzuri ...
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Habari wanajukwaa Kuna suala naliona kwenye Azam App ambalo linanishangaza Sana. Mm huwa napenda Sana Kuangalia habari Kwa simu Hasa nikiwa njiani huwa natumia Hii Azam App kupitia U-TV ila...
1 Reactions
2 Replies
997 Views
Hii picha ya Lissu ilipigwa pale London airport wakati alipowasili Uingereza. Sasa leo gazeti la Fahari yetu Wakaiedit na kuweka maneno yao ili kuchafua taswira za watu. Haya mambo haya!! Yataisha...
14 Reactions
67 Replies
8K Views
1. MARAFIKI WABAYA. [emoji843]Ukiwa na rafiki mzinzi tegemea kuwa mzinzi, Ukiwa na rafiki mcha Mungu atakuambukiza hofu ya Mungu. "Chuma hunoa Chuma, Ndivyo mtu Aunoavyo uso wa rafiki yake "...
25 Reactions
93 Replies
13K Views
habari wadau.. wakati mimi nasoma chuo course yangu ada ilikuwa milioni moja.. bodi walikuwa wananilipia ada milioni moja hiyo na kunipa bumu 5000 kwa siku la matumizi... jumla miaka yangu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati watanzania wengi tukiwa katika furaha ya timu yetu ya taifa ya mpira kufungwa goli tatu na timu ya taifa ya kenya(harambee stars), huko kwenye mitandao ya kijamii wakenya wameanzisha...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
Jana kwenye mtandao wake wa Facebook TB Joshua alitoa picha take akiwa ameshikana mkono Na lowassa,hakutoa maelezo mengi Zaidi lakini Kuna fumbo kubwa Sana,walio karibu Na lowassa tafadhali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom