Igula mambo waa!
Igula ni miongoni mwa vijiji vinavyofanya mji mdogo wa Ilembula.Igula ni kijiji ambacho mti mpogolo ambao ni mlembula (asili ya jina la Ilembula ulipo).Ni kijiji ambacho miaka...
Inafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni...
Wakuu nipo katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini katika mihangaiko ya maisha sasa kuna kituo kimoja cha radio ambacho kinamilikiwa na mtumishi Dk Boaz solo nimekua nikisikia matangazo...
Wakuu, kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, naomba kujulishwa mambo yafuatayo kuhusu maabara.;
1. Mtaji wake kwa makadirio
2. Changamoto za huduma ( biashara ) hii
Na mengineyo,
Karibuni...
Hi.
Wakuu. Mm naomba kueleweshwa.
Rais akipelekwa na ndege mapumziko ya may be siku 10 kijijini kwake , inapack airport ikimsubiri kumrudisha au ikimshusha inaondoka tupu na kumfuata tupu ...
Ninajitokeza mbele yenu kijana mwenye umri wa miaka 26 .
Elimu yangu ni chuo japo nimesitisha kwa muda kutokana na changamoto za kimaisha.
Makazi yangu dar,
Jinsia yangu ya kiume.
Sina tatizo...
Wakuu habar poleni na majukumu na kazi napenda kuomba mwenye anajua namna wanavyo omba mikopo kwa wanafunzi wanaoendeleea na masomo vyuoni naomba anielekeze maana hapa hata sielewi nafanya nini na...
Habari za mida wadau,
Naomba kufahamishwa changamoto zilizopo katika kuagiza magari used nchini Singapore,
Kwenye website yao Beforward wanasema utalazimika kulipia gharama za ukaguzi NIT hapa...
Wakuu, huyu mh, diwan wa tanga vijijin anatutesa watu wasio na hatia, alikodi mgahawa pale tanga mjini stand ya zaman ule mgahawa ulifanya vzr SNA, Ila wenye mgahawa wana shaft moja kwamba ikifika...
Huu ni ushauri nautoa kwa watanzania wenzangu
Kama unahisi au kuona maisha ni Magumu sana basi kuwa makini Maisha Magumu yasikufanye ukapoteza Maisha.There is still life after tough.Just let the...
Habarini wadau.
Natumai mu wazima wa afya, nimeajiriwa kwenye kampuni moja ila sina furaha kabisa kuendelea kufanya kazi hapo.
Nimeshamaliza miaka 3 hapo ila kwasasa natamani nipate kazi nyingine...
Habari, nataka kusafiri kwenda Kenya lakini Passport yangu bado sijapata, mtu yoyote anafahamu nnachotakiwa kufanya ili kupata temporary passport na pia nini natakiwa kufahamu nikiwa nasafiri na...
Hili tatizo limemkuta kaka yangu alikua mwajiriwa wa kampuni fulani hapa jijini Dar es salaam ila kwa sasa hayupo kazini mkataba wake umeisha na amesha maliza taratibu zote za kufuatilia pesa zake...
Jamani naombeni ushauri nimehitim kidato cha nne 2016 na nilipat Dv 2 yaani nina cc katka mosomo yote ila sikwenda advance kwa sababu za kifamilia. Nisomee coz gani kulingana na hayo matokeo...
Shule ilianzishwa mwaka 2002, kwa msingi wa kupunguza mrundikano shule ya msingi Kibaya
Pamoja na mambo mengine ina wanafunzi 720, mwaka 2008 wanafunzi walihitimu ikiwa imeshika nafasi ya 3 kwa...
Gari tajwa hapo juu ikiwa spidi ,ikitokea Dodoma kuelekea (Dar) ,imehitimisha maisha ya mwendesha pikipiki muda huu.barabara ya Morogoro - Dodoma.baada ya tukio wameshuka watu wawili wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.