Habari wadau ,kwanza poleni na majukumu ya siku.
Kwanza kabisa kuna form inayotembea kwa wahitimu especially UDOM na vyuo vingne , hii form ni RED CROSS,
Form inajieleza kuwa kuna nafasi za...
Kwenye huu Mgahawa wa Kipemba sehemu flani hapa Jijini Dsm. Sisi maustaadhi tunapenda pata msosi hapo sababu ni karibu na ofisi huku Posta.
Shida kubwa ambayo naiona na nahitaji sana...
Jaman mi natumia simu aina ya samsung s6+ edge changamoto ninayokutana nayo kila nikidowload app ya mpesa inagoma kufungua inaandika
This device seems to be rooted and thus it is unsafe to run...
Bila kujali u mnywaji au Mlevi.
Naimba kwa uzoefu na utaalamu kuorodheshewa HASARA/MADHARA YA POMBE KWA UJUMLA WAKE. kiafya, kijamii, kimaendeleo na uchumi. Yote haya kwa level ya individual.
Kuna wakati uwa najiuliza sana maswali haya ila uwa nakosa majibu,
Lakini ni vyema tukalijadili kwa pamoja.
*Hivi ni mara ngapi unajiuliza kuhusu kwanini wasomi wengi wa africa bado maskini...
WATU wawili wamefariki dunia mkoani Pwani ,kutokana na matukio tofauti ya mauaji yaliyotokea wilaya ya kipolisi Chalinze, ikiwa ni pamoja na Damian Kimiti (70) ambae ameuawa kwa kupigwa shoka...
Kwa nilivyosoma yale matrilioni 6.3 eti mishahara ya watumishi halafu trilioni 4.4 eti kuendesha ofisi halafu miradi ya maendeleo Rufiji hydro sijui bilioni ngapi. Sasa unashangaa, hii si ni sawa...
Kama mkazi wa mkoa wa Morogoro napenda kutoa malalamiko yangu kwenye idara ya maji iliyojaa rushwa na uchafu mwingi. Naenda kuorodhesha baadhi ya changamoto kama ifuatavyo:
i. Maji yao sio safi na...
Wauza nyama mkoani Shinyanga wabebewa mizani kwa kosa la kukutwa wameanika nyama nje ya bucha na Bi.Afya.
Wauza mabucha hao walilipishwa faini kwa kosa hilo.
Mungu wetu ni mwingi wa Huruma na Upendo, huwapa utajiri walio masikini wa roho na uchumi, huwainua Wanyonge, huwapa wagonjwa Afya njema, huwapa thawabu wenye matatizo na haja mbalimbali. Hivyo...
Leo asubuhi nimehamisha fedha kwa simbanking kutoka CRDB kwenda Mpesa lakini mpaka ninavyoandika hapa hazijaingia Mpesa lakini CRDB zilishakatwa. Ukipiga100 custormer care wahudumu hawapokei...
Mtongani daraja LA Treni kama unatokea mbagala ,kuja mtongani kuna daraja LA juu LA treni chini magari yanapita sio salama kwa wale wanaochezea simu huku madirisha yakiwa wazi ,hasa kukiwa na...
Why are blacks not wealthy
Excerpts from an interview with a Jewish leader about Blacks.
INTERVIEWER:
Why are blacks so behind Economically?
JEWISH LEADER:
The only thing blacks understand is...
Aliyenipa hii stori nilimjjua kupitia JF, kama utaisoma usinisute tafadhali, nia yangu ni kufahamisha wengine yanayoendelea duniani.
Kuna kijana wa ki Tanzania alikwenda Uingereza kusoma MBA...
Jambo linalonishangaza huku upareni ni suala la Hospitali ya wilaya kujengwa mlimani badala ya huku chini kwenye barabara kuu ya Moshi-Tanga.
Yaani mtu akiumwa apandishe huko juu mlimani afu...
Kama ulikuwa hulifahamu hili basi ni wakati wako wa kulifahamu , mabanda yanagombea wateja wachache waliojitokeza badala ya wateja kuyagombea , hii ni rekodi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.