Wakenya waanzisha vuguvugu la "bring back Raphael Ogangi".

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
4,535
11,860
Wakati watanzania wengi tukiwa katika furaha ya timu yetu ya taifa ya mpira kufungwa goli tatu na timu ya taifa ya kenya(harambee stars), huko kwenye mitandao ya kijamii wakenya wameanzisha movement ya kutaka mkenya mwenzao raphael ogangi apatikane.

Taarifa zilizopo zanadai raphael ogangi ambaye ni rafiki wa karibu wa mwanasiasa mmoja maarufu wa upinzani wa tanzania, alitekwa siku chache zilizopita na watu wasiojulikana ndani ya jiji la dar es salaam.

Mpaka sasa kule instagram, vuguvugu hilo limeshafikisha post mia moja plus. bila shaka twitter na facebook kutakuwa na post nyingi zaidi za aina hiyo. MK254
IMG_20190628_141436.jpeg
IMG_20190628_141502.jpeg
IMG_20190628_141521.jpeg
IMG_20190628_141534.jpeg
 
Tulishazoea bongo Kenya muwewavumilivu tu tutafika musijali kwakuwa tuko na jembe letu meco
 
Bila shaka yupo nyuma ya aither ! Alshabab, drugs dealers or kuvusha wasomali/Waethiopia.

Kuna thread ya mtoto wa marehem Mrema wa Impala hotel kukamatwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya.
 
Shida ipo kwa marafiki na washirika wake!
Wanalo!
Na zz sio wa kumuamini kivile! yule
 
Bila shaka yupo nyuma ya aither ! Alshabab, drugs dealers or kuvusha wasomali/Waethiopia.

Kuna thread ya mtoto wa marehem Mrema wa Impala hotel kukamatwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya.
mmh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom