Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali yangu ya Tanzania, tuoneeni huruma japo mechi hii ya leo ya Tanzania na Kenya mtuonyeshe wananchi wenu kupitia TBC 1, Hii ni TV ya taifa, timu inacheza kuwakilisha taifa, kila mwananchi...
0 Reactions
7 Replies
966 Views
Wadau nimeamua kuwaletea List ya jopo la majaji watano (5) wa mahakama ya Rufani walioteluliwa kusikiliza rufaa ya sababu ya serikali kupinga hukumu ya mahakama Kuu inayowaengua Wakurugenzi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
To start a petrol station you need a capital of 450 million tz shillings to 500 million tz shillings. And you make a profit of 1M and more just selling 5000 liters a day.....assume you in a busy...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kupitia mchezo wa jana Harambee na Taifa Stars bila shaka mnalakujifunza kuwa 1. Kuna mambo yafanywe kama yakitaifa sio chama. Taifa stars ni timu ya Taifa sio chama. Na Taifa limegawanyika katika...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Huu ushauri uchukueni ktk mtazamo chanya(nafanya hivi kwa mapenzi ktk nchi yangu)) Kunabaadhi ya wafanyakazi Wa serekali wanaitazama mitandao ya kijamii katika jicho hasi sana Nimesoma katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Kujua siku ya kwanza ya period yake ya kwisho 2. Kipimo cha ultrasound NB:- Majibu ya shemeji yenu yamepishana wiki 2# katika ku-apply njia hizo Karibuni wenye uzoefu..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wana wa nchi wenzangu, Naomba leo nishee jambo kidogo kuhusu hili jiji la Arusha. Ni takribani mwaka sasa nimekuwa katika jiji hili la Arusha kikazi, kabla ya hapo nilikuwa naishi Dar...
11 Reactions
110 Replies
14K Views
Niko njiani nikielekea Rwanda Kigali,naomba kama kuna member angetamani tukakutana na kupeana mawazo naomba tuktane pm.
0 Reactions
3 Replies
788 Views
Nawasalimu ndugu zangu. Kama nilivyodokeza katika kichwa uzi huu. Napenda kuwashauri wananchi wenzangu kwamba tunaweza kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa gharama za uendeshaji wa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Toka lini mmeanza kutofanyia kazi taarifa za mitandaoni?
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Juzi nilikuwa naongea na rafiki yangu ambae miaka kama mitatu iliyopita alikuwa na hali mbaya, alikuwa vizuri kiuchumi baadae akafilisika kabisa, mkewe anauza mkaa na nyanya huku yeye akiendesha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana usiku rafiki yangu kaniletea clip ya huyu mzee anapiga gitaa mtaani. Huyu sahib yangu kaniletea hii clip kwa kuwa ni mimi ndiye niliye mtia yeye kwenye muziki wa kupiga gitaa kupitia muziki...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka waganga wakuu wa mikoa kuchukua hatua za makusudi kuzuia mbu waambukizao homa ya dengue na kusisitiza mikoa iliyo...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
VIJANA wawili wakazi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama baada ya kupigwa na polisi wa Kituo Kikuu cha Wilaya, waliokuwa wakimwokoa askari mwenzao...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Kuwa first born ni blessings toka kwa jah..Firstborn ni inspiration kwa wadogo zake. Hekima, busara, upole, uvumulivu na muongozaji ni sifa za sisi ma firstborn. Firstborn tunaaminiwa kuanzia na...
44 Reactions
121 Replies
11K Views
Hatimaye Taifa Stars, pamoja na kuundiwa Kamati ya Ushindi chini ya uongozi wa RC - Dar es Salaam, Paul Makonda; pamoja na kuinasibisha na chama tawala CCM kwamba ingeshinda kama ambavyo CCM...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwanzoni mwa mwaka 2010, Benki Kuu za nchi mbalimbali dunia ziliacha kuuza dhahabu na kugeuka kuwa wanunuzi wa dhahabu. Mwaka 2017 shughuli katika sekta hiyo ziliongezeka kwa asilimia 36 ikiwa ni...
5 Reactions
41 Replies
12K Views
Kichina Ktk Picha
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Juzi nilikua Ifakara mjini katika kujichanganya na watu nikakutana na mtumishi mmoja akilalamikia kuhusu swala la stihaki zao za likizo. Anadai waliambiwa waandike barua mapema wakaandika na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Wanawake wanapenda huku wakichukia uongo. Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli. Mwanamke hata ukimuambia ukweli kiasi gani hataamini mpaka umdanganye kwa uongo...
1 Reactions
8 Replies
794 Views
Back
Top Bottom