UTUMBUZI: Muheshimiwa Raisi amuondoa mkurugenzi mtendaji kyela kwa utendaji usio ridhisha

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
1144096

1144104
 
Mfumo wa zamani wa kuteua ma DED ilikuwa kuwachagua from Wakuu wa Idara, ambao nao kabla ya kupata ukuu wa idara wanakuwa wamesota na kupata uzoefu as head of section..... Sasa hii ya sasa ya kuchagua mtu hata hajawahi kuwa mkuu wa kitengo ni changamoto.... Watatumbuliwa sanaa.
 
Back
Top Bottom