Hawa machizi/taahira wa Kigoma ni wakuzaliwa nao

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
13,847
2,000
Yaani kila ukitembea dk5 lazima ukutane na taahira, nimetembea mikoa mingi ila Kgm hawa watu wamezidi, nimeuliza nikajibiwa ni wakulogwa kwa nababu za kibiashara au tofauti zingine za kijamii,

Yaani huku ukimuuzi mtu akikuambia ntakukomesha, mzee hama mapema sana.

Mali zinazopatikana kwa ushirikina hazidumu.
Ndomana wanakigoma wanakimbia kwao? Mtu akipata kauwezo kidogo anahamia mkoa mwingine.

Ni maneno ya kusikia kuhusu uchawi ila machizi nawashudia kila siku.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom