Jambo linalonishangaza huku upareni ni suala la Hospitali ya wilaya kujengwa mlimani badala ya huku chini kwenye barabara kuu ya Moshi-Tanga.
Yaani mtu akiumwa apandishe huko juu mlimani afu...
Kama ulikuwa hulifahamu hili basi ni wakati wako wa kulifahamu , mabanda yanagombea wateja wachache waliojitokeza badala ya wateja kuyagombea , hii ni rekodi
Wiki moja imetimu toka mfanyabiashara raia wa Kenya na mshirika wa Zitto Kabwe kutekwa Tanzania.
Leo Jumatatu Julai 1, 2019 inatimia wiki moja toka wanaoitwa watu wasiojulikana kumteka na...
The low admissions numbers,low arrivals and impacts from the excutive orders have had a proufound impact on refugees seeking safety in the U.S.
i want other refugees to have this life saving...
Happy New Month to all...
Leo ni tarehe 1 July,mwezi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na watumishi wazalendo,sioni shauku,matumaini,bashasha na furaha kama enzi zileeee,nini kimetokea?
Mwenye...
Kwa hakika nimetafakari kwa muda mrefu juu ya zoezi la usafi katika maeneo yetu tunalolifanya siku ya mapunziko ya kila mwezi. Kwangu mimi sijaona tija haswa ya zoezi hili zaidi ya kusimamisha...
Bado nipo macho natizama huu mtanange wa uganda na misri ila niseme ukweli hii nafikili no mechi bora ya atua ya makundi, ayseeee unapigwa mpira wa hadabu hapa, japo uganda mpaka sasa wamefungwa...
Katika siku za hivi karibuni kumekua na matumizi makubwa ya neno MZALENDO au UZALENDO.
Matumizi haya yamekua yakitolewa na baadhi ya wanasiasa na watendaji wa serikali wakati wakihimiza miradi...
NMB mnatuangusha wateja wenu ,nimejaza kuomba huduma ya online shopping ,taklibani wiki 3 sasa kila nikifuatilia mnasema bado ,oho Mara sijui kilikwenda kimeludi ,sasa haka kahuduma kanaugumu gani...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amekutana na kufanya mazungumzo ya kina na Mkuu wa Jeshi la Polisi wa nchi ya Msumbiji, Bernardino Rafael kuhusu mauaji ya Watanzania 10...
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.
Serikali ya Mtaa ya...
Habari Wanzengo,
Ni karne ya 21 dunia inakwenda kasi maendeleo ya sayansi na teknolojia yanatufikisha mbali na kuweza kufanya chochote kiganjani..
Kwa nchi zilizoendelea moja ya njia inayotumika...
Wasalaam wanajamvi.
Hivi Karibuni Gazeti la Mwanachi limekuwa kama ni gazeti la kuripoti mauaji yanayoendelea Kibiti hata kabla ya kupata uthibitisho kutoka vyanzo vya uhakika.
Ni wazi kuwa...
Aliongea mzee polepole watu wakadhani utani sasa kijana mpendwa wa Kolomije na yeye akiwa Misri alipoagizwa kwenda kufanya manyanga ili vichwa vya wendawazimu washinde karudia maneno yaleyale...
Naomba niwaulize Leo wakuu mbalimbali mliowahi kupita usagara miaka hiyo ya zamani,pale hostel za usagara Kuna room inaitwa MZIMUNI karbu na WEST PARK inasemekana Kuna kijana alipotea katika...
Ukarabati wa kivuko cha MV. Pangani II unatarajiwa kumalizika hivi karibuni. Kivuko hicho kinatarajiwa kuanza kutoa huduma katika mto Pangani kati ya Pangani na Bweni Wilaya ya Pangani mkoani Tanga.
Aina za Malengo
Katika maisha ya kila siku kila mtu hutengeneza malengo na mipango ya kufikia kilele fulani,lakini kutokana na kutokuwa na aina kamili ama sahihi za malengo na mipango watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.