Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,168
- 7,513
Kuna kitu mimi sijakielewa hadi leo kwanini kipo hivi katika hii nchi yetu kwa ujumla..hili swala la miaka 18 ndio iwe kipimo cha mtu anaejitambua limetokea wapi na chimbuko lake ni wapi?
Tukianza kwenye vyombo vya moto TANZANIA yetu unaambiwa muombaji yeyote wa Leseni lazima awe ametimiza miaka 18 na kuendelea na awe amepitia mafunzo..swali langu ni hapo kwenye hiyo 18??? nani kaiweka hapo kwanini isiwe 15 au kushuka chini??
Marekan,canada wao dereva anaweza kua hata wa miaka 14 anashika usukani na maisha yanaendelea..ila sisi huku tumekazania kwenye 18 Kwann hiii? sina tatizo na hiyo miaka ila nataka kujua tu vigezo gani vimetumika kusema MiAka 18 ni sahihi na sio 17 na kushuka huyu mpanga miaka ni nani??
Tukija kwenye kuoa na kuolewa mambo yale yale kitu kimesetiwa 18... najaribu kuwaza au huku mwilini mwetu kuna organ au sell zinapofika miaka 18 ndio zinaanza kufanya kazi??
Hili swali sina jibu nalo
Hiii 18 ina nini? mbona kuna mitoto ina akili za ki utu uzima kabisa hadi ukiambiwa huyu ana miaka 11 unabaki unatoa macho...Vitu vingine nahisigi wazungu wametuletea kutuchelewesha ili wao watupige gepu sisi tukikazana kusubiria watoto wetu wafikishe miaka 18 wakati wao mitoto yao inafanya maajabu chini ya 18...