TB Joshua na picha ya Lowassa

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Jana kwenye mtandao wake wa Facebook TB Joshua alitoa picha take akiwa ameshikana mkono Na lowassa,hakutoa maelezo mengi Zaidi lakini Kuna fumbo kubwa Sana,walio karibu Na lowassa tafadhali mpelekeeni taarifa Kuna mambo yahusuyo mambo ya kiroho ambayo siyo rahisi kuyaeleza katika ulimwengu wa mwili,,Ni ishara nzuri ya kumuandaa lowassa Kwa mambo yajayo,inategemea uwezo wake wa kuelewa mambo ya kiroho
 
mkuu huu uzi bila picha ni sawa na ccm bila polisi.
 
Ni bahati sana lowasa ameipata kwa mtumishi wa kiroho kama Tb joshua kumuweka picha yake katika kurasa yake
 
Back
Top Bottom