Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

CARDLESS

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
7,786
15,732
Habari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Vijana karibu 6000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mara baada ya kumaliza mkataba wao na JKT.

Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP Magufuli., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.

Mungu awape nguvu vijana wale waliojitolea kupata maarifa.

NB. JKT sasa hivi ni kama sehemu ya kupata cheap labour.

UPDATES...
Mara baada ya malalamiko makubwa kuhusu vijana hawa order imetoka kuwa tar 8/7/2019 siku ya J3 vijana wa OP KIKWETE na OP MAGUFULI wafike MGULANI kwa ajili ya USAILI WA JWTZ.
Haya ndio tuliyokuwa tunayapigania.
Welldone
 
kwamba vijana sasa jkt wamebaki kuwa cheap labour!
NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU., JKT NI CHEAP LABOR KAMA VILE WAKOLONI TU. HUWEZI CHUKUA WATOTO UNAWALIPA ELFU 50 KISA UNAWAPA CHAKULA, WANALIMISHWA MASHAMBA MAKUBWA, WANAJENGESHWA, NA KILA AINA YA KAZI. WENGI WANAPATA ULEMAVU NA HATA MAGONJWA MBALIMBALI.
HII NI CHEAP LABOR. TUPAZE SAUTI ZETU. MM NIMEPITIA HUKO NIMEONA MENGI YASIYO NA HAKI KWA KIGEZO YA UASKARI KUMBE NI UONEVU TUPU.
 
Habari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu..
VIJANA KARIBU 6000 WANATARAJIWA KUREJEA NYUMBANI MARA BAADA YA KUMALIZA MKATABA WAO NA JKT., Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP MAGUFULI., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.
MUNGU AWAPE NGUVU VIJANA WALE WALIOJITOLEA KUPATA MAARIFA.

NB. JKT SASA HIVI NI KAMA SEHEMU YA KUPATA CHEAP LABOUR.
Aisee hapo Dubai kuna nafasi nyingi sana ya kazi za ulinzi za kumwaga uwe na passport yako tu na visa salary 4000AED ×600 =2800000
 
NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU., JKT NI CHEAP LABOR KAMA VILE WAKOLONI TU. HUWEZI CHUKUA WATOTO UNAWALIPA ELFU 50 KISA UNAWAPA CHAKULA, WANALIMISHWA MASHAMBA MAKUBWA, WANAJENGESHWA, NA KILA AINA YA KAZI. WENGI WANAPATA ULEMAVU NA HATA MAGONJWA MBALIMBALI.
HII NI CHEAP LABOR. TUPAZE SAUTI ZETU. MM NIMEPITIA HUKO NIMEONA MENGI YASIYO NA HAKI KWA KIGEZO YA UASKARI KUMBE NI UONEVU TUPU.
Basi hukupikika kwa misingi na nidhamu ya kijeshi kama kweli umepita jkt sidhan kama ungeandika ulichoandika suala la kurudi lipo kwa maana mkataba uko wazi kbsa halafu sio mara ya kwanza kwa vijana kurudi home toka enzi za maraisi waliopita huu utaratibu ulikuwepo usipotoshe watu kupaza sauti kama umerudi home baada ya muda wako kuisha nakushauri tumia ujuzi ulioupata jkt katk maendeleo ya taifa
 
Hivi nyie mnataka serikali iajiri wanajeshi tu, sekta zingine huoni kuwa watu hawaajiriwi pamoja na kuwepo uhitaji wa watumishi? JKT ni kujitolea wao waje mtaani wafanye kazi zingine,
Habari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu..
VIJANA KARIBU 6000 WANATARAJIWA KUREJEA NYUMBANI MARA BAADA YA KUMALIZA MKATABA WAO NA JKT., Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP MAGUFULI., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.
MUNGU AWAPE NGUVU VIJANA WALE WALIOJITOLEA KUPATA MAARIFA.

NB. JKT SASA HIVI NI KAMA SEHEMU YA KUPATA CHEAP LABOUR.
 
Si waandamane, hao siwanajua kutumia SMG, AKA47, waingie msituni watengeneze kikosi kama alishababuu

Hii serikali ni ya kipuuzi, wajiajiri waanze kuvamia benki, na masoko kupiga hela,

Kama serikali imeshindwa kufanya kazi, acha watumie mbinu za kijeshi,

Kuhusu vifaa, waje pm, ntawawezesha tuu

By city hunter
 
Back
Top Bottom