Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Ukiwa na jiwe , tembelea either Moshi , Arusha or Mwanza ili uweze kula bata kisawasawa. Hutajutia.
Hakuna jam , hakuna washamba , hakuna shobo wala woga katika kula kwako bata.
Madhari nzuri , hewa safi. Winter ya wastani na totozi ni shida kinoma. Totozi inayojua kunyonga kiuno haswa.