Aliandika ujumbe nanukuu"habariza huko ndugu pole na majukumu. Uongozi wa shule tunapenda kukujulisha amepata na tatizo la homa ya ghafla hapa shuleni na sasa tupo nae hospitali anapatiwa huruma...
Hii ni picha niliikuta kwenye Account ya Mtu fulani hivi Kutoka Huko Sudani Kusini.
Akilalamika Umri na Uzoefu wa Bwana Mdogo huyu (ambaye hakutajwa jina) na Mavyeo aliyokuwa nayo.
Rais Salva...
Habari za leo wanajamvi.
Nimepanda ndege kwenda kumuona mama yangu kwa sababu anaumwa, umri umeenda na hataki kutoka kijijini kuja kutibiwa mjini.
Kuna jamaa zangu naona wanatoa manenooooooo...
https://edition.cnn.com/politics/live-news/g20-june-2019-intl-hnk/h_6f86ba7a80e65af7ce7ab2984e5058c7
Kutoka G20 Summit inayoendelea huko Osaka, Japani, Rais wa Marekani Donald trump amesema...
Jana nilisikitika sana kuona mkulima wa pamba akirudisha pamba yake nyumbani baada ya kushindwana na wanunuzi wa pamba. Bei elekezi ya pamba kwa kilo moja ya pamba safi ni Tshs.1200 lakini...
Utafiti unasema kuwa watu wengi ambao ni wazungumzaji sana(extrovert) wengi wao hawapo active sana na mitandao,sio watu wa kushea idea zao,iwe Facebook, Twitter au jamii forum,ila wale wenzangu na...
Kuna Mtu Mmoja Mwandamizi tu wa haya Masuala nakumbuka aliwahi Kuniambia kuwa ipo Siku tu hawa Wasiojulikana na Kundi la Watekaji ambalo linaaminika kama siyo kuhisiwa lipo ndani ya Idara watakuja...
Wanasema majuto ni mjukuu, wakimaanisha pia kizazi ni lazima kihusike.
Ukiacha kizazi mhusika alieitenda dhambi na kukipa shida kizazi chake, atajuta pia kwa namna moja au nyingine lakini kizazi...
Shuhudia huyu dada askari wa kike akiwa katika sare za jeshi akibeba mifuko ya sementi katika kuunga juhudi za ujenzi nadhani utakuwa wa kituo cha polisi hapo kwao.
Hakika huu ni mfano wa kuigwa.
Habari za jioni wakuu...!
Naandika haya nikiwa nipo ndani ya ukuta wa mererani mda huu,kama mchimbaji na pia mfanya biashara ya kibanda(duka) ndani ya ukuta.
Toka ukuta ujengwe tumekua tukipitia...
Nimekuja kugundua kitu kimoja. Ukiangalia mataifa yote yaliyoendelea, kuna product ambazo huwezi zikosa kwenye top 3 ya exports zao. Tizama top exports za:
Marekani: Bidhaa za kula na vinywaji...
Kabla ya AFCON 2019 Kauli zao zilikuwa…..
“ Tuna Timu nzuri, bora kabisa na Taifa Stars hii ya Rais Magufuli na jinsi anavyoijali na ilivyofanya Maandalizi makubwa huku tukiwa na Mchezaji wetu...
Ukiwa unavuka ferry kwa pantoni kuja upande wa Kigamboni utakuwa unapaelewa, ni kwamba wakati gari zinashuka toka kwenye kivuko ili kuingia barabarani wanakumbana na kibarabra mithili ya...
Kwa haraka kabisa ni jambo la kawaida sana unapotaka kuboresha kitu kuleta au kuingiza kitu kipya ambacho hakikuwepo au kuboresha vilivyopo ili kuendana na wakati na mahitaji yake,niliyoyaona law...
London. Mwili wa mtu anayedhaniwa alizamia kisiri kwenye ndege ya Kenya Airways umeanguka wakati ndege hiyo ikielekea kutua katika Uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London.
Mwili huo wa...
Habari wote humu
Nimekuwa nasoma taarifa mbalimbali kuhusu mtajwa hapo juu, vile vile hapa jamii forum ilifikia kipindi hadi kuna 'hashtag' kibao za kuhamasisha utata wa kupotea kwa huyu kijana...
Wajameni naombeni mwenye ufahamu wa kina anijuze ni kwa nini uchumi wa zimbabwe uliporomoka mpaka akawa hawezi hata kutumia pesa yake kwa matumizi ya ndani ya nchi!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.