Watumishi kilombero

Watumishi kilombero

king kakaa

Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
25
Reaction score
81
Juzi nilikua Ifakara mjini katika kujichanganya na watu nikakutana na mtumishi mmoja akilalamikia kuhusu swala la stihaki zao za likizo. Anadai waliambiwa waandike barua mapema wakaandika na waambatanishe na salary slip zao na namba za benk akaunt wakakamilisha taratibu zote shida ikaja kwenye kulipwa wakacheleweshewa wamekuja kupigiwa simu mwishoni na hela wameambiwa wafate bomani wakapewa mikononi tena muda ambao sio wakazi na kiasi ambacho hakiendani na idadi ya watu walio takiwa kulipwa kisheria

Na wamelipwa mpaka sasa hawajapewa barua zao za likizo je kisheria hapa hawa walimu wana saidika au ndio basi tena kila mbuzi ale usawa wa kamba yake japo wana lalamika mpaka huruma waje ntipwili huku tulime ngano[emoji1]
 
Dah. Poleni sana watumishi. Endeleeni kula mtori, nyama zipo chini
 
Back
Top Bottom